Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Ni heri kama amepatikana sasa inatakiwa baadhi ya public figures kama hawa wasanii nk kuwa na private guards walobobea kwenye VIP protection kwa usalama wao.
Unajua gharama zake
 
Kwani ni umewaza hivyo Haraka

Kwani ni umewaza hivyo Ungesubiria taarifa anasema alikuwa wapi?

Michezo ya hatari hasa ya Kimafia naijua na naifuatilia sana katika ' Sinema ' mbalimbali hivyo nilichokisema ni sehemu yangu ya msaada mkubwa tu Kwake na isitoshe sijamtuhumu yoyote juu ya kukamatwa Kwake bali nimemshauri tu tafadhali.
 
Ni jambo jema kama wamepatkana salama.
Kiu yetu na haja ni Roma na wenzie waje watueleze ni wapi walipelekwa na nani ni muhusika,ili na raia wengine tujilinde na adau.
 

Nenda uka edit tena,saa nyingine wanafanyaga mambo ya kijinga sana.
 
Rudi tena darasani Mkuu halafu kajifunze upya maana na dhana nzima ya kitu kiitwacho ' <b>Labelling Theory</b> ' kisha utaelewa ni kwanini sasa hivi kila kitu kibaya Bashite wako huyo anahusishwa nacho. Matendo yake ya awali ambayo mengi ni ya ' Kipuuzi ' ndiyo yana justify yeye kuwa labelled hivyo na ukishangaa kuna siku pia anaweza kujitokeza Mtu tu akaachia Kimba pale Magogoni kwa nje na tutamhisi yeye huyu huyu Bashite wako. Mbona atatukoma mwaka huu!
 
Ikiwezekana atafutwe Daktari binafsi ampime kama ana vimelea vyovyote vya sumu kali ya cyanide tafadhali. Hili lifanyike upesi kama siyo haraka tafadhalini.
Daah!!! sikupata kufikiri hiki kitu PONGEZI MKUU ni jambo jema uliloshauri wahusika naomba mlifanyie kazi
 
Kuna mtu alisema atapatikana kabla ya jumapili..
Nafikiri polisi wangeanza na huyo kwanza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…