mahutu
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 766
- 558
Unajua gharama zakeNi heri kama amepatikana sasa inatakiwa baadhi ya public figures kama hawa wasanii nk kuwa na private guards walobobea kwenye VIP protection kwa usalama wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua gharama zakeNi heri kama amepatikana sasa inatakiwa baadhi ya public figures kama hawa wasanii nk kuwa na private guards walobobea kwenye VIP protection kwa usalama wao.
Kwani ni umewaza hivyo Haraka
Kwani ni umewaza hivyo Ungesubiria taarifa anasema alikuwa wapi?
Amepatikana
mnaanza ujinga ujinga!!
safi tunasubiri huo wimbo wake kwa hamu
Ni hizi skin tight ndiyo zinawatoa ujasiri wanaume wa Dar kila wakimuona BashiteHivi wanaume wa dar mbona Bashite anawachezea hivi?,
hivi hamna ujasili kweli wa kumwajibisha huyu mkulima?
Duh! Mods wamebadili nilichoandika! Wakuu kama hamtaki tuonyeshe hasira zetu dhidi ya huyu dikteta uchwara basi mtwambie nini hatutakiwi kuandika humu.
Wewe mod uliyefuta nilichoandika sidhani kama Roma angekuwa nduguyo ungeona kasoro yoyote ile kwa kile nilichoandika.
Ni lazima Watanzania tuwe kitu kimoja ili kumpinga huyu ShilawaDU na Serikali yake dhalimu jinsi huu uhuni anaoufanya dhidi ya raia wasiokuwa na hatia yoyote. Kama hataki kukosolewa ajiuzulu au afuate katiba ya nchi badala ya kuongoza nchi kama nduli Idi Amin.
Thanks good
Rudi tena darasani Mkuu halafu kajifunze upya maana na dhana nzima ya kitu kiitwacho ' <b>Labelling Theory</b> ' kisha utaelewa ni kwanini sasa hivi kila kitu kibaya Bashite wako huyo anahusishwa nacho. Matendo yake ya awali ambayo mengi ni ya ' Kipuuzi ' ndiyo yana justify yeye kuwa labelled hivyo na ukishangaa kuna siku pia anaweza kujitokeza Mtu tu akaachia Kimba pale Magogoni kwa nje na tutamhisi yeye huyu huyu Bashite wako. Mbona atatukoma mwaka huu!Watanzania tunaongea sana yani mpka unajiuliza tunatumia kinywaji gani. Loo. Hivi Mtu hawezi kuchukuliwa na Mdai wake. Au mbaya wake nk. Hizi conclusions mwendo kasi. Zitafanya watu wabaya wafanye maovu na kuwaacha wananchi wasingizie watu fulani. Tumeshakuwa na majibu sasa tunasubiri maswali. Its very sad.
Daah!!! sikupata kufikiri hiki kitu PONGEZI MKUU ni jambo jema uliloshauri wahusika naomba mlifanyie kaziIkiwezekana atafutwe Daktari binafsi ampime kama ana vimelea vyovyote vya sumu kali ya cyanide tafadhali. Hili lifanyike upesi kama siyo haraka tafadhalini.
ngoja nimstue Maulidi Kitenge amsindikizeHamorapa yuko njiani anaenda kutoa pole kwa manusura wa utekwaji
Ikawa usiku ikawa asubuhi na neno likatimiakweli wamemwachia kabla ya jumapili
Bashite will fcuk all ya'll in the ass till you love him.