Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Waliomteka Roma na wenzake ndiyo hao hao waliomteka Bensaanane. Si umemsikia Sirro akisema ni tukio la kawaida sana? Sasa wamrudishe Bensaanane akiwa hai na mzima wa afya.

Sasa ninaanza kupata wasiwasi kuwa waliohusika ktk mchezo huu ndiyo waliohusika kumpoteza Ben Saa 8
 
Inategemewa na ulivyowekewa na waliokuwekea wanataka ' Ufe ' lini. Naomba niishie hapa tafadhali!
Inategemewa na ulivyowekewa na waliokuwekea wanataka ' Ufe ' lini. Naomba niishie hapa tafadhali!
kafie mbali zingie ni arsenic,
unakula leo,unaugua figo miaka miwili baadae,

nyingine wanaweza kujifanya wanakuchukua damu wakapime kilevi,sasa lile bomba la sindano kama ushaona daktari akitaka kukuchoma sindano akishavuta dawa huwa kwanza anatoa hewa kwa kuigonga lile bomba kwa vidole huku anasukuma kuitoa hewa ,sasa kwa makusudi akiachia hewa kwenye bomba afu wakati anavuta damu akaingiza hewa kwenye mshipa wa damu,
haichukui masaa mengi utapata stroke na kufa,

lakini sidhani kama makirikiri wamefikia hatua hiyo kwa hapa kwetu
 
Roma aseme ukweli ukweli mtupu,wamepatikanaje?walikuwa wapi?Kilaza mmoja alisema watapatikana kabla ya jpili.Tumeshaconnect dots.
Natabiri ataambiwa asiseme lolote asiaribu upelelezi.
Wakina bashite watatumia kichaka chaupelelezi kuficha jambo hili.
 
Wasiwasi wangu ni mmoja tu, je mlengwa hapa alikuwa Nape au? Nikiona magazeti ya Kesho nitapata jibu kamili!!! Naona Bashite anaweza akawa kufanikiwa kwa asilimia 100%
 

Duh Mkuu naona umeikopi post yangu yote vile vile kama ambavyo niliiandika na kuonyesha kuwa hata Shuleni ulikuwa muigiliziaji mzuri umeshindwa hata tu ku edit kidogo ili kunipoteza ' maboya '. Hata hivyo nimefurahi kuwa umeweza kutumia hiyo ' fikra ' yangu GENTAMYCINE kumjibu huyo Jamaa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…