GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nani kakwambia CYANIDE inaua polepole?! Ukipigwa hiyo, huchukui round kwa sababu hutaweza kupumua.
wahuni sana mchezo wao tumeushtukiaWalijua wanaye wahuni wauaji hawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bullarturudi kwenye vyeti sasa
Wimbo wa Roma ulilalamikia wengine kutumbuliwa kwa sababu ya kughushi vyeti huku Makonda akikingiwa kifua na watumbuaji. Uutafute huo wimbo uusikilize utajijibu mwenyewe.Kuna dalili gani za utawala kukataa kukosolewa?
Basi tusema bashite amekuwa shehe yahyaWakati mwingine matukio yakienda sambamba huweza kutengeneza uhusiano
Walijua wanaye wahuni wauaji hawa.
Apelekwe hospitali huru kupima kama hajapewa sumu , simuamini mtu yeyote .
All in in all ni habr njema,
Kumbe hata BEN ATAKUWA YUPO HAI
Mpododo haufichikiHalifichiki wee halifichiki ......
Kama Polisi wanasema hatujui na tunafanya uchunguzi..! Na Bashite ambaye si polisi anasema tutampata kabla ya Jumapili..! na leo ni Jumamosi na habari inasema amepatikana...! Kwa busara ya kawaida tu tutasema nini hapa?Sasa jamiiforum inakuwa kama magazeti ya udaku tu. Nani mwenye uhakika kuwa Bashite ndie alie mshikilia?