Alisema haitafika jumapiliilikuwa kabla ya Jumapili, Jumapili au baada ya Jumapili?
Cyanide haiwezi kuwa mwilini huwezi kuendelea kuwa hai!Ikiwezekana atafutwe Daktari binafsi ampime kama ana vimelea vyovyote vya sumu kali ya cyanide tafadhali. Hili lifanyike upesi kama siyo haraka tafadhalini.
Naye atakuwa mjinga kama akizibwa mdomo.Natabiri ataambiwa asiseme lolote asiaribu upelelezi.
Wakina bashite watatumia kichaka chaupelelezi kuficha jambo hili.
Ni bashite na baba' yake na ndiyo maana alihaid before sunday atapatikana.sasa tujue nani yupo nyuma ya hii movie
Wazo zuri ila kwa malipo yepi?Ni heri kama amepatikana sasa inatakiwa baadhi ya public figures kama hawa wasanii nk kuwa na private guards walobobea kwenye VIP protection kwa usalama wao.
watawalipa nini asee..!Ni heri kama amepatikana sasa inatakiwa baadhi ya public figures kama hawa wasanii nk kuwa na private guards walobobea kwenye VIP protection kwa usalama wao.
Mhh sio kwa lips hizoWe mchokoziiii
Umetumwa ee?Sasa jamiiforum inakuwa kama magazeti ya udaku tu. Nani mwenye uhakika kuwa Bashite ndie alie mshikilia?