Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Tunamshukuru Mungu kwa wasanii wetu kupatikana lakini sisi kama watanzania pia tuna kila haki ya kujua walikuwa wapi all days long na walichukuliwa kwanini na walio wachukua watutake radhi maana sio kwa kutupa pressure kiasi hicho, mbona sisi nchi yetu haijazoea hizi drama
 
Ikiwezekana atafutwe Daktari binafsi ampime kama ana vimelea vyovyote vya sumu kali ya cyanide tafadhali. Hili lifanyike upesi kama siyo haraka tafadhalini.
Cyanide haiwezi kuwa mwilini huwezi kuendelea kuwa hai!
 
Hii ina maanisha nini?tuliahidiwa kuwa watapatikana kabla ya J2 pili na kweli wamepatikana!!Je mkuu wa mkoa anaweza kutuambia walikuwa wapi??maana inaonekana aliwahifadhi sehemu!!!Napitatu jamani!!!!!!!
 
Back
Top Bottom