Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Hata kama tunamchukia kwa kiasi gani hatuna budi kumpongeza Rc wa Dar Es Salaam kwa juhudi zake alizozifanya mpaka kupatikana kwa Msanii Roma Mkatoliki. Hongera RC Paul Makonda.
Wewe ndiye mwana katerero pure kiazi wa gairo kabisa.
 
Ahsante kamanda Siro tunaomba ndugu yetu Ben sanana Nate apatikane
 
Sasa jamiiforum inakuwa kama magazeti ya udaku tu. Nani mwenye uhakika kuwa Bashite ndie alie mshikilia?
Watu wachawi sana, roma kashapatikana, ukweli ataulezea mwenyewe, mitanzania haina akili sana
 
Ukamuambiw hivyo mme wako,watanzania sio wajinga kama ulivyo wewe.
Kwan huyu jamaa ni msemaji wa polisi mpaka aisemee kuwa jumapili haifiki na kweli haijafika,lazima kuna namna hapa..... mwambieni sisi si watoto
 
Yeye ni mungu wa dar!! Yuko kila kona ya jiji na anawajua watu wake wote!!
 
Hakuna walikumuokoa Mkuu. Usiruhusu akili yako ichezewe kwa uongo wao.
Ngoja tusubiri maelezo yao nini kilitokea, ukweli tutaujua tu....Cha kushukuru wote ni wazima.!
 
Makonda alisema atapatikana kabla ya jumapili
Alijua yupo wapi. Mbaya sana huyu dogo hafai hata kidogo kupewa madaraka makubwa kama aliyonayo. Angeishia kuwa katibu tarafa. .
 
Bado Ben tunamsubiri kama hata mifupa yake walete tufanye DNA. Viva Roma Viva na Ben atafutwe. Tupige kelele wote tuseme tunamtaka Ben Saa nane wote jamani. Na wewe Ulimboka huko ulipo utumegee siri kidogo ya yale masahibu ili tuwajue hawa watu.
 
Huenda anawajua waliomteka Roma na alijua walipomhifadhi ndio maana alitamka hivyo.
 
Huyu makonda ni nani nchi hii, ????? Kama vp tumfanye hamna yeye na babaake hatuwezi kuendelea kulea upuuzi wa watu wawili wanataka kuhatarisha amani bora wafe wao sisi tuendelee na hamsini zatu wameikuta nchi salama na wataiacha salama hatupigani wala hatutamwaga damu
 
Sasa jamiiforum inakuwa kama magazeti ya udaku tu. Nani mwenye uhakika kuwa Bashite ndie alie mshikilia?
Ni mtuhumiwa kwa kutoa guarantee ya kumpata b4 sunday . Na ametekeleza ahadi yake ya kumpata b4 sunday
 
Atuambie kwanza kipi kilichomsukuma kutuambia jana kuwa Roma atapatkana kabla ya J2 yaani leo kama si kuwa alkuwa anajua aliko.
Akiniweka sawa hapo ndo ntampa hongera yangu
WAlikua wanamfanyia kazi yake
 
hivi mmelishwa karanga za moto!
mbona kila tukio in dar ni bashite bashite! akha! asingesema chochote napo sijui mngesemaje kuna watu humu mnahukumu mtu hata uthibitisho hakuna! haya mambo naanza kuyaangalia upande wapili sasa...
Hata mimi kwa kweli, watu hawatumii akili, wanapelekwa tu kama mahindi ya kuchoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…