Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

kweli sisi bado sanaaa MSOMALI ANATEKA MELI SISI kuteka watu huu ni ujinga ulio pitiliza na wahali ya juuu sana.
 
Unajitoa ufahamu kwa ujira wa kutwa moja? Alipokwenda na jeshi Clouds alikuwa anatetea maslahi ya nani? Inahtaji uwe zuzu wa kiwango cha kuridhisha kumtetea huyu Rc mhalifu. Hivi mkikaa kimya haitoshi kuwafanya muonekane mna hekima hata ya kiwango cha chini?
 
Series za tamthilia ya kutungwa na bashite zinaendelea. hivi huyu bashite anadhani sisi ni vilaza Kama yeye
 
Mungu atawalipa waonevu wote,kama si wao kwakuwa wana ulinzi wa kibinadamu basi kizazi chao mpaka kizazi cha 4
 
Nimeiweka makusudi kabisa , siasa za nchi hii zinaendeshwa kishamba sana .
Nay hakukosea kabisa ktk kile kisehemu 'nchi inaendeshwa kwa kick' viongozi (bashite na fent ford) wanagombea heading kwenye magazeti
 
Bashite sio MTU mzuri tuanamlaumu jk kwa kumuingiza kwenye system
 
Huyu shogake na mfalume wa kusadikika anapenda kiki sana hata ikibidi kwa gharama za uhai wa wanyonge, haya kiki ishapatikana nini kinafuata? Hovyo kabisa, LETE VYETI LETE VYETI LETE VYETI LETE VYETI.
 
Mimi binafsi natamani kupata taarifa rasmi kabla ya kuhukumu kwani kumekuwa na tabia ya watu kujitafutia umaarufu hata kwa kuhatarisha maisha yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…