msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,764
- 3,192
Usipaniki! Unafahamu wamepatikana wapi na wamepatikanaje?Unaona sasa?! kuwafanya watu matahaira !! Utawala ni lazima ikubali kukosolewa wala si uadui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipaniki! Unafahamu wamepatikana wapi na wamepatikanaje?Unaona sasa?! kuwafanya watu matahaira !! Utawala ni lazima ikubali kukosolewa wala si uadui
Umetoka kudinywa....mknd wk! kwanini hasa unanitafutia ban wewe mbuzi?
Wanagombania fent ford kwenye magazeti ya keshoIM SPEECHLESS.......
SASA ALIFANYA HIVI ILI IWEJE...!???
HAWA WASUKUMA SASA... GWAJIMA NAE KESHO ANALIANZISHA UPYA NA DIAMOND...
Huyo J. Mada ni RPC au msemaje wa jeshi la polisi hadi athibitishe tukio la kijinai ambalo lipo mikononi mwa polisi?Nimethibitisha kuwa ROMA na wenzake wamepatikana na wako kituo cha polisi Oysterbay.
Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records - J. Mada. Tutaendelea kuwaletea habari zaidi
Haahahaahaaa..... Fent ford sijui zitaandikwaje kesho....Wanagombania fent ford kwenye magazeti ya kesho
au siotunasubiri
Bashite anafanya atakalo katika nchi ya kaka yake sizonje!Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.
Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada.
Bado hakuna maelezo ya kutosha kuhusiana na wapi walipokuwa na nani waliokuwa wamewashikilia. Kwa sasa wanadaiwa kuwepo kituoni hapo kwa taratibu za kipolisi kwa kuwa jalada la kupotea kwao lilifunguliwa hapo.
Kupatikana kwao kumefuatia wito mkubwa uliokuwa ukipaishwa na wasanii wenzake na mashabiki kuhusu kuachiliwa huru, ndani na nje ya mitandao ya kijamii.
Awali, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishina Simon Sirro alisema bado walikuwa wakiendelea na upelelezi wa tukio la kupotea (kutekwa) kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake.
Taarifa zaidi zinafuata..
View attachment 492792
View attachment 492791
Kwani huyu ni dada ake au mpenziwe . .Bashite nouma, naskia alikuwa kamficha kwa Dada yake cocochanel ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mashehe huwa hawatanii kabisa Mkuu kwani wangeweza hata kuihamisha ' naliliu ' yake ya kuiweka katika paji lake la uso na iwe ' inaning'inia ' tu ' mubashara ' 24/7.