Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Kwa staili ya bwana fukani anavopenda kik in undhani wangekuwa wameptikana tusingewaona
 
Hapa kuna kamchezo kamechezwa.

Wamesikia Baba askofu Gwajima kesho atatoa tamko wameanza kuhaha na kuangaika namna ya kuwadanganya watanzania.

Hawa waanga wametolewa leo ili kuzuia kasi na matamko kutoka kanisa la ufufuo na uzima.
 
Uzuri wa move za tanzania kama za kihindi staring anakufa, bashite chali.

Tatizo director wa move hajui staring bora wa kucheza move anachukua DAB ambaye ni kilaza. hajifunzi kwa wenzake!!!!
 
Tunaomba picha za kina Roma na wenzake wakiwa central.. la sivyo watakuwa wanatuchezea akili tu, .. Mi mpaka niwaone ndo ntaamini... la sivyo itakuwa kamchezo cha kutupunguza munkali wananchi
 
Kelele nyingi zinasaidia, kuanzia sasa akipotea mtu tuhakikishe tunapiga kelele za kufa mtu, mitandaoni na nje ya mitandao, yaani ni kupiga kelele kama hatuna akili nzuri.
Nina uhakika Ben Saanane tungempigia kelele za kutosha mara alipopotea by now tungekuwa tumeshampata, lakini badala yake ziliwekwa kejeli, siasa nyiingi , malumbano na kunyoosheana vidole
 
Siyo kelele tu wkizingua tufanye vitendo...
 
Hamorapa Bado Hajatoweka Jamani?
Maana Watanzania Tuliomba Wamrudishe Roma Afu Achukuliwe Hamorapa
 
wabongo bwana kwa udaku,umbeya porojo mnapendaga matukio mepesi kama haya...JK aliwawezea alikuwa akiwaachia vipicha yupo na macelebrity wa mbele mnavijadili miezi na miezi ye anafanya yake shame on you.Tubadilike Wakuu
Like, like,like,like,like like like.......tulikuwa tunajadili hayo mapicha ya JK akiwa na Eminem huku hazina inakombwa! Poorer Tanzanian!
 
Back
Top Bottom