Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

IM SPEECHLESS.......

SASA ALIFANYA HIVI ILI IWEJE...!???

HAWA WASUKUMA SASA... GWAJIMA NAE KESHO ANALIANZISHA UPYA NA DIAMOND...
Wanagombania fent ford kwenye magazeti ya kesho
 
Nimethibitisha kuwa ROMA na wenzake wamepatikana na wako kituo cha polisi Oysterbay.

Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records - J. Mada. Tutaendelea kuwaletea habari zaidi
Huyo J. Mada ni RPC au msemaje wa jeshi la polisi hadi athibitishe tukio la kijinai ambalo lipo mikononi mwa polisi?
 
wabongo bwana kwa udaku,umbeya porojo mnapendaga matukio mepesi kama haya...JK aliwawezea alikuwa akiwaachia vipicha yupo na macelebrity wa mbele mnavijadili miezi na miezi ye anafanya yake shame on you.Tubadilike Wakuu
 
..bashite Ana tafuta kiki kwa uhai wa watu....hatudanganyikiiiii!!!....aonyeshe vyeti vyake.....
 
Bashite alisema atapatikana kabla ya jpili..anajua aalifanyalo..mhhh
 
Sasa tuhamie kwa nape anamwaga kila kitu hadharan
 
Hao polisi wa oysterbay wanatakiwa watoe taarifa ya kina .... Wamempataje?? Na walimkuta katika m mazingira gani???
 
Bashite anafanya atakalo katika nchi ya kaka yake sizonje!
 
Kwa haya yanayotokea lawana zote ziende kwa tiss na jwtz.
 
Kama wamepatikana ni vizuri. Kila kitu kitajulikana kwani atasema waliuwa wapi na kwanini walikuwa huko. Hapa hakuna haja ya kusema mengi mengine siyo.
 
Mashehe huwa hawatanii kabisa Mkuu kwani wangeweza hata kuihamisha ' naliliu ' yake ya kuiweka katika paji lake la uso na iwe ' inaning'inia ' tu ' mubashara ' 24/7.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…