Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

hivi mmelishwa karanga za moto!
mbona kila tukio in dar ni bashite bashite! akha! asingesema chochote napo sijui mngesemaje kuna watu humu mnahukumu mtu hata uthibitisho hakuna! haya mambo naanza kuyaangalia upande wapili sasa...
Hata yeye Bashite anafaham anachofanyaga ndio maana hudhibitisha maneno/matendo yake.
 
hivi mmelishwa karanga za moto!
mbona kila tukio in dar ni bashite bashite! akha! asingesema chochote napo sijui mngesemaje kuna watu humu mnahukumu mtu hata uthibitisho hakuna! haya mambo naanza kuyaangalia upande wapili sasa...[/QUO
Ni kweli umelitizama suala hili kwa upande waKOLOMIJE....,ila mtuambie BASHITE(0),Kamaliza sekondari gani na mwaka gani?.
 
Hospitali ya mwananyamala?stupid hao hawakutekwa walijificha na wanajua wanachokifanya dili hilo, watuhumiwa mlisema ni serikali tena mnaenda hospitali ya serikali mnaakili kweli?
 
Kuna psychological torture hawa jamaa wameipata. Hakuna anaeuliza wapo katika hali gani? Kila mtu anasema afadhali wamepatikana. Hayo masaa waliyopotea ni mengi sana. Mikononi mwa mtu Mwenye uwezo wa kukupoteza chombo chochote cha dola kisiweze kukupata it means they can do you anything. Kwa mimi ni ngumu sana kuamini Roma ataendelea kuwa yule Roma wa Enzi zile. Acha tuone, it is only time that will prove me wrong.
Viva....vivaaa×4
 
Niache niongee we admin wasiwe wanaleta utani kujitekesha kutafuta kiki watu wanaacha mambo yao
 
Vyeti kwanza.
Ben saanane arudi.



Tume huru idaiwe mapema Tanzania
 
Viva....vivaaa×4
Ney baada ya kutoka ikulu an alia Lia tuu mtandaoni. Sio tena yule Ney wa Enzi zile. Ha ha ha haa wamempandikiza woga sasa unamtafuna. All the time looking over the shoulder.

Nasubiri Roma arudi kitaa. Nahamu sana kuisikia kauli yako ya kwanza baada ya kurudi Uraiani.

Roma ataendelea kuwa Roma ama Romario?

Ukiwa Hai unaweza Sema unataka ufeje. Ukionjeshwa hutotamani.

Diamond kaimba "Acha nikae kimya".
 
Kama ROMA karudishwa BEN SAANANE arudishwe mkuu wa mkoa huu anajua yuko wapi. #Freeben# haraka kabla jaziba hazijaanza kupanda
HATA KABURI LAKE TUONYESHWE KAMA ALISHA uawa
Nani yuko nyuma ya haya YOTE AONDOLEWE KWENYE MAMLAKA NDIYO JIBU.
 
Sirro unatakiwa kumhoji Daudi Bashite, alijuaje hawa ndugu watapatikana kabla ya Jumapili? Hii kauli ilizua mashaka kwa watu wengi.
 
Nina hamu nisikie Bashite atakavyoeleza apatikanaji wao na jinsi Roma atakavyojieleza upatikanaji wao

Alafu huko mwananyamala Nina wasiwasi napo

Waandishi Wa habari wamezuiwa wasiingie

Usikute kuna deal limechezwa huko,watu wakafutwa kumbukumbu
 
Back
Top Bottom