Nadidi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 334
- 104
Haya Mimi nilijua Daud Albert Bashite ndiye alimtekaMakonda alisema atapatikana kabla ya jumapili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya Mimi nilijua Daud Albert Bashite ndiye alimtekaMakonda alisema atapatikana kabla ya jumapili
Hata yeye Bashite anafaham anachofanyaga ndio maana hudhibitisha maneno/matendo yake.hivi mmelishwa karanga za moto!
mbona kila tukio in dar ni bashite bashite! akha! asingesema chochote napo sijui mngesemaje kuna watu humu mnahukumu mtu hata uthibitisho hakuna! haya mambo naanza kuyaangalia upande wapili sasa...
God is greay
hivi mmelishwa karanga za moto!
mbona kila tukio in dar ni bashite bashite! akha! asingesema chochote napo sijui mngesemaje kuna watu humu mnahukumu mtu hata uthibitisho hakuna! haya mambo naanza kuyaangalia upande wapili sasa...[/QUO
Ni kweli umelitizama suala hili kwa upande waKOLOMIJE....,ila mtuambie BASHITE(0),Kamaliza sekondari gani na mwaka gani?.
Viva....vivaaa×4Kuna psychological torture hawa jamaa wameipata. Hakuna anaeuliza wapo katika hali gani? Kila mtu anasema afadhali wamepatikana. Hayo masaa waliyopotea ni mengi sana. Mikononi mwa mtu Mwenye uwezo wa kukupoteza chombo chochote cha dola kisiweze kukupata it means they can do you anything. Kwa mimi ni ngumu sana kuamini Roma ataendelea kuwa yule Roma wa Enzi zile. Acha tuone, it is only time that will prove me wrong.
Ney baada ya kutoka ikulu an alia Lia tuu mtandaoni. Sio tena yule Ney wa Enzi zile. Ha ha ha haa wamempandikiza woga sasa unamtafuna. All the time looking over the shoulder.Viva....vivaaa×4
Nadhani kuna tofauti kati ya mpenzi na hawara.Kwani huyu ni dada ake au mpenziwe . .
tehtehe.. umefikiria nje ya box joh..!Usikute waliwatomba!