Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa



Tundu Lisu na Masha!
 
Kichwa cha habari kisomeke Roma Na wenzake waachiwa baada ya kilio kikubwa kutoka kwa wananchi
 
Chadema walishiriki, hutaki ?
 
Kesho Bashite na GSM watampatia pesa ndefu ili jumatatu aje na story kuwa alitekwa na watu asiowajua, hizo sinema za kumfunika Nape zitawagharimu sana wasukuma wawili walioamua kurejesha Ukoloni kwa nguvu kubwa.
 
Hivi wakimtaja utaamini?
Kwanini usisubiri Roma mwenyewe aseme
Roma atapewa pesa na bashite huenda akaja na kioja cha mwaka na usishangae Bashite kumfundisha awasingizie chadema, kuna mambo ya ajabu yataibuka hapo ni bora Roma aepuke Rushwa ya Bashite
 
vyama vya upinzani vichunguzwe kwa hili
 
Hivi wakimtaja utaamini?
Kwanini usisubiri Roma mwenyewe aseme
Kama keshatishiwa kifo endapo atamsema aliyemteka, hawei kusema. Anyway labda askof atasema. Ila bashite aliyesema kuwa angepatikana kabla ya J3 aulizwe!

Anyway, si kaachiwa na kuahidi kusema kilichojiri J3! Atasema yale tu waliokubaliana na mtekaji kwamba yasemwe!
 
Wamuulize ulimboka baada ya kutoka south kwenye matibabu kama alisema chochote, mpaka leo yuko kimya
 
Ni hatari hii tabia ya kupotea watu imeanza kuota mizizi tuilaani sote
 
Kama walikuwa na ruge tangu asubuhi mbona tumewekwa wazi mchana, na vipi mbona hawako sawa kiakili na kiafya nmeona video clip IG @cloudsfm ROMA anachechemea na pia anaweweseka kuongea. Mh kuna kiza hapo
 
Kwa mataifa mengine ambayo vyombo vya dola viko huru mkuu wa mkoa angehojiwa na vyombo vya usalama juu ya kadhia hii. nina wasiwasi tukawa na viongozi wenye vigenge vyao vya kimafia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…