Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
.....
......shilingi ngapi
......shilingi ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezekani ikawa mwisho wake ni kuonekana tu Roma!
Ingepaswa ielezwe alikuwa wapi?
Nani alimteka?
Jeshi la polisi limechukua hatua gani?
Watanzania tulichukuliaje suala hili, kwamba ndio utekaji umeanza rasmi tuanze kujihami tukiwa barabarani?
nchi hii hofu sasa inaanza kutuingia wadanganyika!
Yani kwa hiyo figure mi nilijua ni demu ila nilipocheki uso kumbe bashite..Ni hizi skin tight ndiyo zinawatoa ujasiri wanaume wa Dar kila wakimuona Bashite![]()
Chadema walishiriki, hutaki ?Haiwezekani ikawa mwisho wake ni kuonekana tu Roma!
Ingepaswa ielezwe alikuwa wapi?
Nani alimteka?
Jeshi la polisi limechukua hatua gani?
Watanzania tulichukuliaje suala hili, kwamba ndio utekaji umeanza rasmi tuanze kujihami tukiwa barabarani?
nchi hii hofu sasa inaanza kutuingia wadanganyika!
Ukoloni umerejea ni wakati wa kudai uhuru kama mwaka 1961Nchi hii inavurugwa na watu wawili tu...Bashite na Sizonje baaasi.
Roma atapewa pesa na bashite huenda akaja na kioja cha mwaka na usishangae Bashite kumfundisha awasingizie chadema, kuna mambo ya ajabu yataibuka hapo ni bora Roma aepuke Rushwa ya BashiteHivi wakimtaja utaamini?
Kwanini usisubiri Roma mwenyewe aseme
Kama keshatishiwa kifo endapo atamsema aliyemteka, hawei kusema. Anyway labda askof atasema. Ila bashite aliyesema kuwa angepatikana kabla ya J3 aulizwe!Hivi wakimtaja utaamini?
Kwanini usisubiri Roma mwenyewe aseme
Wamuulize ulimboka baada ya kutoka south kwenye matibabu kama alisema chochote, mpaka leo yuko kimyaKama keshatishiwa kifo endapo atamsema aliyemteka, hawei kusema. Anyway labda askof atasema. Ila bashite aliyesema kuwa angepatikana kabla ya J3 aulizwe!
Anyway, si kaachiwa na kuahidi kusema kilichojiri J3! Atasema yale tu waliokubaliana na mtekaji kwamba yasemwe!
Ni ajabu, na kweli !Alijuaje!!!