Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Kama ni kweli amepatikana hii ni kazi ya Gestapo.
 
Yani hawa wanatuona sisi wajinga..Walimshikilia Roma ili attention ya nchi iwe kwenye hilo tukio na watu wasiwe na attention na Nape. Sasa wanoona Nape kaanza mkutano eti ndo wanamuachia ili watu wasiendelee kufwatilia habari za Nape. Hizi mbinu za kitoto sana na kama serikali inafikia hatua ya kufanya hivi basi hali ya nchi ni mbaya sana. Najua mda sio mrefu Bashite ataitisha mkutano na waandishi wa habari kutoa taarifa ya kupatikana kwa Roma. Nawasihi waandishi wa habari kesho watoe habari ya kupatikana kwa Roma lakini wasimpe promo Bashite. Mwendo ni ule ule,hakuna kurudi nyuma
 
Kama kweli ndivyo,basi ni michezo Yao hao........
Ngoja tuone itakuwaje
 
Yani hawa wanatuona sisi wajinga..Walimshikilia Roma ili attention ya nchi iwe kwenye hilo tukio na watu wasiwe na attention na Nape. Sasa wanoona Nape kaanza mkutano eti ndo wanamuachia ili watu wasiendelee kufwatilia habari za Nape. Hizi mbinu za kitoto sana na kama serikali inafikia hatua ya kufanya hivi basi hali ya nchi ni mbaya sana.
sasa walikuwa wanaongea nini kwenye media blah blah kibao
 
Nape kashafunikwa na mkutano wake uko kijijini Mtama sijui uko kijijini ulezi.
 
Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.

Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada.

Taarifa zaidi zinafuata..

View attachment 492792
View attachment 492791

Atakuwaje kituo cha polisi siku zote halafu leo ghafla eti yupo? Kamanda Siro siku zote eti alikuwa hajui
 
Nnilipomuona makonda anavyoongea jana na ile body language nikajua anajua mahali roma alipo...
 
Back
Top Bottom