Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,183
Hahitofika jumapili alisema..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiii nchi ina vituko sijawahi ona halafu watu mseme mnataka maendeleo thubutuuuu yetu machoMakonda alisema atapatikana kabla ya jumapili
Yupo wapi Mwakyembe ambaye ndiye Waziri wa wasanii ?wasiende ***** anatuchezea huyu
kwa sababu ndie anajua alimteka kwa sababu gani, hata sura na mahujiano ya Sirro yameonyesha hivyoMakonda alisema atapatikana kabla ya jumapili
sasa walikuwa wanaongea nini kwenye media blah blah kibaoYani hawa wanatuona sisi wajinga..Walimshikilia Roma ili attention ya nchi iwe kwenye hilo tukio na watu wasiwe na attention na Nape. Sasa wanoona Nape kaanza mkutano eti ndo wanamuachia ili watu wasiendelee kufwatilia habari za Nape. Hizi mbinu za kitoto sana na kama serikali inafikia hatua ya kufanya hivi basi hali ya nchi ni mbaya sana.
Did I quote your opinion or I'm missing something?
Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.
Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada.
Taarifa zaidi zinafuata..
View attachment 492792
View attachment 492791