NIYOMBARE
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,718
- 4,228
Wa uhuru fm tbc na habari leo!Makonda kuongea na wasanii mchana huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa uhuru fm tbc na habari leo!Makonda kuongea na wasanii mchana huu
Hawezi pata kiki zaidi ya yy kuonekana ndio alimtekaBashite keshapata kiki the next ni Nani?
Sasa jamiiforum inakuwa kama magazeti ya udaku tu. Nani mwenye uhakika kuwa Bashite ndie alie mshikilia?
Kama kapatikana leo utajuaje mkuHivi mke wake sialifika apo wakasema hayupo na sirro alidai polisi hali kana kuwashikilia wasanii hao sasa Leo imekuaje
Wa uhuru fm tbc na habari leo!Makonda kuongea na wasanii mchana huu
anafanya kolabo ya mziki.Kapatika kituo cha Polisi anafanya nini?
So you quoted nothing and said nothing?Nothing. It doesn't deserve kuitwa opinion. Don't ask me what an opinion is....
kafanya nini? husilopoke kama taahira weweYote kwa yote bashite ni mtu mbaya sana
Acha hasira weka ukweli. Je Bashite ndie alimkamata Roma????Kwani ni JamiiForums kama Mtandao ndiyo imesema kuwa alishikiliwa na Bashite au ni sisi tu Watumiaji wake ndiyo tunasema hivyo? Hivi Watu wengine humo katika Ubongo wenu kumejazwa nini hadi mnafikiri ki ' hovyo hovyo ' hivi? Halafu kama umejua JF imekuwa kama magazeti ya Udaku sasa na Wewe usiyependa huo Udaku umefuata nini huku? Miswahili bhana!!!!!!
Tatizo ni upatikanaji wa huyo daktari,nikekumbuka ile ya Gwajima kuishiwa nguvu ghafla...naamini Roma hayuko sawa sawa.Ikiwezekana atafutwe Daktari binafsi ampime kama ana vimelea vyovyote vya sumu kali ya cyanide tafadhali. Hili lifanyike upesi kama siyo haraka tafadhalini.
Never ever estimate the power of the man from Kolomije!
Quoted nothing, and gave my opinion!So you quoted nothing and said nothing?
wekeni habari kamili tuelewe