Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Sasa jamiiforum inakuwa kama magazeti ya udaku tu. Nani mwenye uhakika kuwa Bashite ndie alie mshikilia?

Kwani ni JamiiForums kama Mtandao ndiyo imesema kuwa alishikiliwa na Bashite au ni sisi tu Watumiaji wake ndiyo tunasema hivyo? Hivi Watu wengine humo katika Ubongo wenu kumejazwa nini hadi mnafikiri ki ' hovyo hovyo ' hivi? Halafu kama umejua JF imekuwa kama magazeti ya Udaku sasa na Wewe usiyependa huo Udaku umefuata nini huku? Miswahili bhana!!!!!!
 
Alikuwa anatafuta public sympathy na ataikosa.
 
Ili kuiunga Mkono serikali hii ya Magufuli (siongelei Chama), inahitajika uwe na mojawapo kati ya haya mambo matatu au yote; mahaba-niue kwa Magufuli/Bashite yaani wewe huambiwi-husikii chochote negative kuhusu Magufuli/Bashite yaani umejifyatua akili AU una maslahi binafsi ya kiuchumi na utawala(sio uongozi) huu AU unaendekeza ukabila/ukanda
 
Sasa ubuyu wa kumalizia weekend tutautoa wapi tena jamani ?
 
Bashite alisema ataonekana kabla ya j2 na ikimbukwe kuwa alisema pia kuwa hamna kituo chochote cha polosi kinachomshikilia Roma
 
Hili swala lisiishe kizembe zembe wananchi wenzangu bila sauti zetu angepotea mazima tupaze sauti zetu sisi sio wajinga kama wanasiasa wanavyodhania
 
Kwani ni JamiiForums kama Mtandao ndiyo imesema kuwa alishikiliwa na Bashite au ni sisi tu Watumiaji wake ndiyo tunasema hivyo? Hivi Watu wengine humo katika Ubongo wenu kumejazwa nini hadi mnafikiri ki ' hovyo hovyo ' hivi? Halafu kama umejua JF imekuwa kama magazeti ya Udaku sasa na Wewe usiyependa huo Udaku umefuata nini huku? Miswahili bhana!!!!!!
Acha hasira weka ukweli. Je Bashite ndie alimkamata Roma????
 
Ikiwezekana atafutwe Daktari binafsi ampime kama ana vimelea vyovyote vya sumu kali ya cyanide tafadhali. Hili lifanyike upesi kama siyo haraka tafadhalini.
Tatizo ni upatikanaji wa huyo daktari,nikekumbuka ile ya Gwajima kuishiwa nguvu ghafla...naamini Roma hayuko sawa sawa.
 
Back
Top Bottom