Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Ngoja niendelee tu kupishana na wazungu barabarani.....huko nitarudi season ya mwisho ya hiyo seriesNi sarakasi na maigizo ya kitoto mkuu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niendelee tu kupishana na wazungu barabarani.....huko nitarudi season ya mwisho ya hiyo seriesNi sarakasi na maigizo ya kitoto mkuu!!
Safi Sana mkuuMods edit heading isomeke
" bashite amrudisha roma mkatoliki"
ulofa huo. we fanyakazi. kelele za nini?Ikiwezekana atafutwe Daktari binafsi ampime kama ana vimelea vyovyote vya sumu kali ya cyanide tafadhali. Hili lifanyike upesi kama siyo haraka tafadhalini.
Pesa inayotumika kumtetea Daud Bashite, faru huko mbugani, kuwakata wanasiasa kuwasafirisha usiku kuwapa majaji wapindishe sheria inatosha kujenga kiwanda cha Toyota vx Dodoma na serikali wakaacha kuagiza japan zikanunuliwa nchini na kwa Nchi jirani.Ujinga tu..Wanatumia kodi zetu kwa mambo ya kijinga
Ina maana hata kutafsili picha huwezi au ni hizo posho unazopewa zimekupofusha? Inawezekanaje mtu akasema atahakikisha amepatikana kabla ya j2 na kweli amepatikana leo tusiwe wanafki kwa vitu vilivyo waziSasa jamiiforum inakuwa kama magazeti ya udaku tu. Nani mwenye uhakika kuwa Bashite ndie alie mshikilia?
Yani hata mtt wa chekechea angeujua huu mchezo. Kuanzia mkutano wa Bashite kule WCB, kuja post ya Diamond kuhusu upoteaji wa Roma, kisha post ya babu tale, na halfu ile body language ya Bashite Jana, ukiunganisha dots huna hata haja ya kufikiria mara mbili km Bashite anahusika na hii movie ambayo director wake ni James wann(pombe)Nnilipomuona makonda anavyoongea jana na ile body language nikajua anajua mahali roma alipo...
Alikuwa wapi.na nan aliemtekaMsanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.
Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada.
Taarifa zaidi zinafuata..
View attachment 492792
View attachment 492791
Kwahiyo leo Mbowe akisema Ben atapatikana, inamaana yeye ndie atakuwa kamshika au ni hizo posho mnazopewa na nyie?Ina maana hata kutafsili picha huwezi au ni hizo posho unazopewa zimekupofusha? Inawezekanaje mtu akasema atahakikisha amepatikana kabla ya j2 na kweli amepatikana leo tusiwe wanafki kwa vitu vilivyo wazi
Basi naewamkomalie chadema tuende zetu tukaweke kambi kwa Baba ...Saa nane kazi ya mkulu