Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RC Ben Saanane atapatikana Lini????
Ikiwezekana atafutwe Daktari binafsi ampime kama ana vimelea vyovyote vya sumu kali ya cyanide tafadhali. Hili lifanyike upesi kama siyo haraka tafadhalini.
Hawatakuwa wameshamnywa supu kweli?Basi naewamkomalie chadema tuende zetu tukaweke kambi kwa Baba ...
huwa nakuheshim sana mkubwa, so na wewe niheshimuUmeshaambiwa hapo stay tuned sasa una haraka gani kama mkojo wa alfajiri?
Bashite na msukuma mwenzake wamejenga jela za Siri alipo Ben sanane wameamua kuwa kama Maliyamungu enzi za idd Amin dada wa Uganda.Watakua wameshushwa kutoka mafichoni.
Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.
Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada.
Bado hakuna maelezo ya kutosha kuhusiana na wapi walipokuwa na nani waliokuwa wamewashikilia. Kwa sasa wanadaiwa kuwepo kituoni hapo kwa taratibu za kipolisi kwa kuwa jalada la kupotea kwao lilifunguliwa hapo.
Kupatikana kwao kumefuatia wito mkubwa uliokuwa ukipaishwa na wasanii wenzake na mashabiki kuhusu kuachiliwa huru, ndani na nje ya mitandao ya kijamii.
Awali, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishina Simon Sirro alisema bado walikuwa wakiendelea na upelelezi wa tukio la kupotea (kutekwa) kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake.
Taarifa zaidi zinafuata..
View attachment 492792
View attachment 492791
Daud Bashite kaona aibu kaamua kumtoaWamemleta Kama walivyosema
Nchi Yangu eeeee..Tanzaniaaaaaaa eeeeee ......
Soma swaliAmii forum imeandika wapi kuwa bashite ndio anamshikilia?
Au hujui kuwa JF ni nini?
kwaiyo hiyo theory inafundisha kumjaji mtu bila ya kuwa na uthibitisho..?Rudi tena darasani Mkuu halafu kajifunze upya maana na dhana nzima ya kitu kiitwacho ' Labelling Theory ' kisha utaelewa ni kwanini sasa hivi kila kitu kibaya Bashite wako huyo anahusishwa nacho. Matendo yake ya awali ambayo mengi ni ya ' Kipuuzi ' ndiyo yana justify yeye kuwa labelled hivyo na ukishangaa kuna siku pia anaweza kujitokeza Mtu tu akaachia Kimba pale Magogoni kwa nje na tutamhisi yeye huyu huyu Bashite wako. Mbona atatukoma mwaka huu!
kwa hiyo bashite alijua alipoMakonda alisema atapatikana kabla ya jumapili