Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Yani hapo Roma atakuwa haelewi kitu. Itakuwa alipigwa sleep inducing drugs ndo anaamka leo anajikuta yuko Osterbay kituoni *****
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Msanii Roma Mkatoliki anadaiwa kupatikana na yupo Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar.

Habari ya akina Roma kupatikana imethibitishwa na Mkurugenzi wa Tongwe Records J. Mada.

Bado hakuna maelezo ya kutosha kuhusiana na wapi walipokuwa na nani waliokuwa wamewashikilia. Kwa sasa wanadaiwa kuwepo kituoni hapo kwa taratibu za kipolisi kwa kuwa jalada la kupotea kwao lilifunguliwa hapo.

Kupatikana kwao kumefuatia wito mkubwa uliokuwa ukipaishwa na wasanii wenzake na mashabiki kuhusu kuachiliwa huru, ndani na nje ya mitandao ya kijamii.

Awali, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishina Simon Sirro alisema bado walikuwa wakiendelea na upelelezi wa tukio la kupotea (kutekwa) kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake.

Taarifa zaidi zinafuata..

View attachment 492792
View attachment 492791


Safi sana basi nae aende Protea kuongea na wanahabari kuzungumzia A- Z ya kalinyekalinye
 
Rudi tena darasani Mkuu halafu kajifunze upya maana na dhana nzima ya kitu kiitwacho ' Labelling Theory ' kisha utaelewa ni kwanini sasa hivi kila kitu kibaya Bashite wako huyo anahusishwa nacho. Matendo yake ya awali ambayo mengi ni ya ' Kipuuzi ' ndiyo yana justify yeye kuwa labelled hivyo na ukishangaa kuna siku pia anaweza kujitokeza Mtu tu akaachia Kimba pale Magogoni kwa nje na tutamhisi yeye huyu huyu Bashite wako. Mbona atatukoma mwaka huu!
kwaiyo hiyo theory inafundisha kumjaji mtu bila ya kuwa na uthibitisho..?
 
Back
Top Bottom