Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Ina maana walidhuriwa au vipi,
Nini kimewafanya wapelekwe hospital?
Bashite akamatwe mara moja...
 
Mi nafikiri ni muda muafaka sasa kwa mzee wetu saa nane na yeye aende na timu ya waandishi wa blogs kwa RC wa Dar, apatiwe ufumbuzi na ahadi timilifu, kuliko kukaa analalamika kwa kina Sirro.
Aanzie kwa kubenea na mbowe kwanza
 
Apo kwenye press ..utamsikia Roma akisema ..
Namshukuru Mungu niko salama na naishukuru serikali kwa. Jitihada za kuniokoa kwa sababu mtu alioniteka simjui na sikumtambua course nilifungwa kitambaa usoni na kupelekwa kusiko julikana..asante waandishi na wasanii wenzangu
 
Aanzie kwa kubenea na mbowe kwanza
Wakina fid q walipoanzia kwa Sirro wakashindwa ndio maana wakaenda kwa Bashite. Na mzee saa nane ameisha anzia huko ulipopataja lakini hajapata mafanikio ndio maana nikatoa ombi aende kwa Bashite sasa maana ndio anauhakika na uzoefu na watu wanaopotelea Dar.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Kuna psychological torture hawa jamaa wameipata. Hakuna anaeuliza wapo katika hali gani? Kila mtu anasema afadhali wamepatikana. Hayo masaa waliyopotea ni mengi sana. Mikononi mwa mtu Mwenye uwezo wa kukupoteza chombo chochote cha dola kisiweze kukupata it means they can do you anything. Kwa mimi ni ngumu sana kuamini Roma ataendelea kuwa yule Roma wa Enzi zile. Acha tuone, it is only time that will prove me wrong.
 
Bashite pumbavu sana. Hizo movie zake za kuvamia studio ni za kifala.
 
Sawa, twambieni alipokuwa na nani aliwateka ili tuwaulize hao watekaji mahali alipo BEN SANANE.
 
Watanzania ni viazi sana hivi mtu akuteke harafu akuachie kirahisi
 
Duh, Kwahiyo Bashite ameshamuachia, Maana aliahidi atapatikana kabla ya kesho
Afu kesho tunasikia ya diamond na wimbo wake baba askofu akizungumzia...yaani pale anapofanya double manifestation....
 
Kuna watu walisema huu mchezo utamtokea puani Roma kwani ni wao wenyewe ndiyo waliofanya haya ili wapate kickiii, yetu macho na masikio.
 
Back
Top Bottom