Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Among all hospitals eti mwananyamala,sijui kwanini wamekubali, labda kama wamefanyiwa mchezo mchafuHospitali ya mwananyamala?stupid hao hawakutekwa walijificha na wanajua wanachokifanya dili hilo, watuhumiwa mlisema ni serikali tena mnaenda hospitali ya serikali mnaakili kweli?
Hospitali ya mwananyamala?stupid hao hawakutekwa walijificha na wanajua wanachokifanya dili hilo, watuhumiwa mlisema ni serikali tena mnaenda hospitali ya serikali mnaakili kweli?
Na wameenda hospital kufanya nini? Wamekutwa chini ya ardhi?Among all hospitals eti mwananyamala,sijui kwanini wamekubali, labda kama wamefanyiwa mchezo mchafu
hahahahaha Ni kweli kabisaKama kweli kamanda sirro anatakiwa kuwajibishwa kwa kutoa Taarifa za uongo maana alikanusha kuwa hakuna kituo kinacho mshikiria, lakin kwa upande mwingine tumsamehe tu mzee wawatu kwa sababu mzee wawatu alikuwa msafi ila anatiwa najisi bila ridhaa hana namna mzee wawatu anapitia kipind kigumu sana sasa nadhana atakuwa anataman mda wa kustaafu ufike haraka ili kikombe hiki akihepuke.
Wamewatoa wapi?Maliza kupika kwanza halafu urudi kusoma upya,polisi ndio wamewapeleka na sio wameenda wenyewe.
on the way kufanya utalii WA ndani KoromijeNever ever estimate the power of the man from Kolomije!
Hivi wakimtaja utaamini?
Kwanini usisubiri Roma mwenyewe aseme
Huyu hakupotea, aliwekwa kwa kazi hii!Na msinge piga kelele mkakaa kimya angepotezwa
Next ni Wema Sepetu,Bashite keshapata kiki the next ni Nani?
MBONA TOKA MCHANA HII HABARI MKU?Kwani kapatikana?