Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

Hospitali ya mwananyamala?stupid hao hawakutekwa walijificha na wanajua wanachokifanya dili hilo, watuhumiwa mlisema ni serikali tena mnaenda hospitali ya serikali mnaakili kweli?
Among all hospitals eti mwananyamala,sijui kwanini wamekubali, labda kama wamefanyiwa mchezo mchafu
 
Hospitali ya mwananyamala?stupid hao hawakutekwa walijificha na wanajua wanachokifanya dili hilo, watuhumiwa mlisema ni serikali tena mnaenda hospitali ya serikali mnaakili kweli?

Maliza kupika kwanza halafu urudi kusoma upya,polisi ndio wamewapeleka na sio wameenda wenyewe.
 
J
Kama kweli kamanda sirro anatakiwa kuwajibishwa kwa kutoa Taarifa za uongo maana alikanusha kuwa hakuna kituo kinacho mshikiria, lakin kwa upande mwingine tumsamehe tu mzee wawatu kwa sababu mzee wawatu alikuwa msafi ila anatiwa najisi bila ridhaa hana namna mzee wawatu anapitia kipind kigumu sana sasa nadhana atakuwa anataman mda wa kustaafu ufike haraka ili kikombe hiki akihepuke.
hahahahaha Ni kweli kabisa
 
Haiwezekani ikawa mwisho wake ni kuonekana tu Roma!
Ingepaswa ielezwe alikuwa wapi?
Nani alimteka?
Jeshi la polisi limechukua hatua gani?
Watanzania tulichukuliaje suala hili, kwamba ndio utekaji umeanza rasmi tuanze kujihami tukiwa barabarani?

nchi hii hofu sasa inaanza kutuingia wadanganyika!
 
Hivi wakimtaja utaamini?
Kwanini usisubiri Roma mwenyewe aseme
 
Hata kusema walimkuta maeneo gani hawajasema?
Inawezekana vipi mtu kutekwa halafu aibuke tu?
Huyu Roma naye aongee kesho ili tumpime maneno yake kama alitekwa kweli!
Angekuwa mtoto mdogo tungesema alipotea njia, au kaokotwa Gambushi aliwekwa msukule!
 
Na msinge piga kelele mkakaa kimya angepotezwa
Huyu hakupotea, aliwekwa kwa kazi hii!
tumemuonea huruma bure, inawezekana naye ni sehemu ya hii conspiracy! ngoja aseme nimsikie ilikuwaje maana nimeshaanza kusikitikia muda wangu niliokaa kumuonea huruma!
 
LOGICAL QUESTIONS

ALITEKWA NA NANI? LENGO LA MTEKAJI LILIKUWA NINI?
KAONEKANA WAPI?
NANI KAWALETA?
NANI KAWAONA MARA YA KWANZA?
KAMA WAMEPATIKANA ALFAJIRI MBONA HAWAKUONEKANA TANGU MUDA HUO WA ASUBUHI?

KUNA KITU HAPA..LAZIMA TUPIME MAELEZO YAO YOTE..TUSIENDESHWE NA HISIA KUNA DALILI YA KUTEKWA AU KUJITEKA!!
 
Tazama hii youtube clip uone ni jinsi gani mtu aliyetekwa ule muonekano wake tu unaonesha kuwa mtu huyo ana matatizo!
kwa picha za global TV nina mashaka na wasanii wanaoonekana kuwa ni kweli walikuwa kwenye shida na taabu!
 
Bashite na Sizonje mna mzaha sana!!! Mnatuchezea picha la kihindi!!! Wakati tunajua kabisa mnadanganya!!!!
 
Back
Top Bottom