ROMA ni Msanii wa ovyo. Aambiwe maua wanapewa wanawake

Mmh,mi mbona sijui nyimbo yako hata moja,labda ile siri ya nini uloshirikishwa na Rayvany
Hili jamaa lina chuki karibia na kila mtu,yaani tangu uchapiwe demu wako umekuwa zimbokoko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiweka sisiemu na jiwe mi nitachagua jiwe, kama humuelewi ni wewe na sikio lako
 
Roma Mkatoliki ni msanii-mwanaharakati
mama D, hebu fanya umpunguzie walau hata akili kidogo tu huyu mtoa mada ili iweze kumsaidia kwenye kuchanganua vitu vidogo kama hivi.

Eti maua wanapewa wanawake!! Hivi huyu kada mwenzako anaelewa hata maana ya neno tafsida kweli!!
 
Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya Roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.

Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.

Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention

Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.

Hizi nyimbo za Roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145

Kwenye sanaa maua maana yake ni thamani na sifa za msanii😂 sio 🌹. Pili Roma video imeangaliwa zaidi ya 1M YouTube kwa wiki mbili tu.

Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya Roma?
Tupo tumejaa... Kila mtu na taste yake. Kuna watu sebene hawazielewi, wengine wanazikubali, the same to Taarab, Bongo fleva, Gospel,.. kuna wengine ukiwaambia nyimbo za kiingereza ni zao, ila wengine hawazikubali.
Kwa kuongezea kuna maana ya nje, na ya undani..
Na hiyo ndo hip pop, kuna kuwa na mistari yenye ufundi, na ya kufikirisha.
Kwaiyo kwa upande wangu nampa sana credit, kama kuna mstari sijaupenda nauskip, ama kama ni wimbo mzima nauskip nasubiria ujao
 
Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya Roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.

Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.

Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention

Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.

Hizi nyimbo za Roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145
Yaani bora akila andazi atapata faida kuliko kuichagua sisiemu, wewe mwenyewe si unaona hata taa tu za uwanjani zimewashinda mechi za kimataifa eti taa zinakosa mwanga taaa tuu kwanini usichague andazi hata ungekuwa wewe unanywea chai unapata nguvu
 
Nipeni Maua Yangu Lyrics By Roma Mkatoliki Ft Abiud
(Copied and pasted from web, ni dhahiri kutakuwa na errors)

Sasa sijui nianzie wapi kifuani nimebeba meng

Na sitotenda haki nisiposema hiki sipend

Hiki napenda kile sitaki mambo ya kishenz

Tanzania haijaezekwa bati na wamekula pesa ya ujenz

Yaani nchi wanaifanya mti mjenzi anauona mba

Ndege ataona makazi mkulima ataona maza

Mganga atauona dawa na mpishi atauona kun

Ataemiliki mwenye power sisi atatusagia kungun

Na ukisema hawatufai wanakuumiza uwe mpol

Yaani wanaangua papai kwa kutumia gobol

Mnatumia nguvu kubwa kwenye mambo madog

Jeshi gani mpaka leo mmeshindwa kumjua kigog

Tukiongelea kutekwa eti tunarudia ajend

Hamjibu mnakwepa mbona mama anarudia kilemb

Nchi gani raia akihoji mnasema anakoso

Na akikosoa anatukana serikali hii sio p

Haya basi tuseme mko sawa na mna nia nzuri na sis

Mbona vyuma vimekaza halafu mama anaificha greas

Mara mkapandisha tozo kampeni mkono hatuwaung

Si tulihoji mkajibu kwa dharau tuhamie Burund

Tatizo mkishaapishwa tu mnawaza uchaguzi uja

Hamuwazi njia mbadala ya kumlinda mkulima na maza

Sasa Iringa si tuna maitu halafu tuspick twaagiza chin

Manaake hapo kwanza ncheke yaani bongo kikubwa uzim

Sa mnatuambia tujiajiri mbona nyinyi hamkujiajir

Okay nikupe bodacyangu kisha we unipe uwazir

Nikukabidhi vyeti vyangu hangaika navyo mwezi mmoj

Niko pale nakujgoja uje tuongee lugha moj

Mi sio CCM sio Chadema hili niliweke waz

Ila ukiweka CCM na Andazi ntachagua Andaz

Simuamini mtawala na mpinzani simsadik

Maana wanaendelea kukatika huku deejay kauzima Mzik

Na inaniuma kuona msomi wa degree tat

Nashindwa kumpa ajira sasa anauza nyanya karat

Sasa sijui mtaniua nikimshikia mama shiling

Maana hata inyeshe mvua mnasema anaupiga mwing

Na ninamkubali na nitamng’ata sikio kama huju

Wanaomkosoa ndo wanampenda wanaomsifia ndo maadu

Ili wapate teuzi ndo wanamlamba migu

Wakimpamba hawamsaidii Amiri Jeshi Mku

Tunakupenda Roma Tunakumiss Rom

Rudi Nyumbani Roma Utuseme

Tunakupenda Baba Tunakumiss Mwan

Tunakukumbuka san

Hivi hamjasikia tetesi kuwa remote iko msog

Si huku mageng imedoda magogoni imenon

Watu tatu ndani ya track moja wamekalia kigod

Ngolo Kante anampa Mbape cross anafunga Pogb

Hii nchi ina wenye nchi walanchi na wananch

Na kuendelea kuwachagua ni kwenda na mchanga mbich

Tuwajaribu wapinzani watawala si wameshapat

Ugoro umewaingia puani sasa ona wanapiga chafy

Wanatumia dollar kubaki kuongoza dol

Watawafunga watapora wataua watahonga vijor

Karatasi tunaibiwa za kura kwenye sanduk

Kwa hiyo mnatuonyesha ziwa huku mmeziziba chuch

Okay kura ziko 300 na kuna watu mia kwa jimb

Na kituoni hakukua na watu halafu wameshinda kwa kishind

Sa kama Askofu mfufua watu ameiba kura za wapinzan

Je atashindwa kuiba sadaka za kura kanisan

Hii ni gani mchungaji akitaka gari twamchangi

Muumini akitaka gari anaombewa tunamsali

Sa mchungaji tusimpe pesa tumuombeevna yeye pi

Tukae pale tusubiri miujiza ya wagalati

Wabunge wengi mlishinda kwa hisani ya mwendazak

Mkipatacho muende Chato mkumbuke hata ndugu zak

Jimbo hili haliendelei cause mmemchagua mpinzan

Haya sasa mmeshinda kote fauluni huo mtihan

Turuhusu siasa za amani turudi zile enzi zet

Uchaguzi sio siku moja ni mchakato wa muda mref

Mikutano ya nje na ndani ndo tunaimarisha cham

Daily mtulishe majani halafu sikukuu mtupe shawarm

Keki ya taifa ni kubwa tuache siasa za risas

Mnawaonea wakishika dola watalipa kisas

Tulipotoka ni mbali siasa za mwendazak

Msirudi msilale chali huku mnatutemea ma

Na BASATA msikie hili msije fungia huu wimb

Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shing

Sawa tulinde maaduli ila tusiue wabunif

Mtupende tunaokosoa kama mpendavyo wanaosif

Wengine wamekuwa viongozi na mliwaona tu marappe

Hiphop ni mkombozi na sauti isiyo na mipak

Ushauliza kwanini bega lipo karibu na kwap

Usiondoke baki hapa usikie verse inayofuat

Tunakupenda Roma Tunakumiss Rom

Rudi Nyumbani Roma Utuseme

Tunakupenda Baba Tunakumiss Mwan

Tunakukumbuka san

Nawashangaa vijana warembo na watanashati na nus

Wanaosema bila mlengo eti siasa haiwahus

Mwanasiasa anaweza amua tu na ukalala mahabus

Mnakosea wadogo zangu na kamwe sitoruhus

Siasa ndo inaamua sukari iuzwe shingap

Na inapanga kaliua ni wapi wajenge zahanat

Na ijue tofauti ya mwanasiasa na mwanaharakat

Mmoja ndo mzalendo mwingine maslahi binafs

Ntawafundisha kitu kabla hajawika jogoo alfaji

Pesa unayonunua maduta mkate unaolipa bil

Hoja yake inamlipa Raisi Polisi Mbunge Wazir

So una haki ya kuwakosoa maana we ndo umewaaajir

Tatizo hatuna ujasiri na akili tumekaza fuv

Vipi nitafuzu kichwa suzuki engine ya Isuz

Anayechelewesha msafara siku zote ni ng’ombe wa mbel

Ila anachapwa wa nyuma na ndo anayepiga kele

Na mjenga katiba mpya sio BAWACHA wala BAVICH

Eti wabonngo maji sio katiba mnawafich

Haya sasa hayo maji yako wapi mbona hamuonge

Uko wapi umeme mmebugia kiazi cha mto

Mdomo unacheza seben

Katiba iliyopo ni bora ipa ni bora kwa watawal

Ukipinga wanakupa keai na hauna hela kibata

Kwa mwamvulu wa maendeleo wanahairisha mchakat

Mbona mkoloni alijenga miundombinu yote hap

Na ili nchi iendelee inahitaji vitu vinne t

Uongozi bora, siasa sadi, Ardhi na wat

Yanga na Simba ni wapinzani ila sio kwamba hawapatan

Maji yanayotoka mto msimbazi ndo yanayojaza jangwan

Na hiyo ndo amani tuitakayo sisi sio vurug

Tunataka kuona Januari anamgongea fegi sug

Hakika naacha glasi ya Bapa mezani anaenda msalan

Anamuachia mwigulu anarudi na anakunywa kwa aman

Na sio utani msipojifunza hapa ndo basi ten

Aliyesema aomgezewe muda bungeni ndo ameaga mapem

Wakamlisha asali kwa kisu akalamba akamwaga win

Tangulia na dereva barua utaikuta chamwin

Mi nitakufa mimi ila ngoma zangu zitaish

Na mtakuja na mashada siku yangu ya mazish

Nipeni maua yangu niyanuse angali nipo ha

Nikiondoka mnikumbuke msilie bali mfurah

Tunakupenda Roma Tunakumiss Rom

Rudi Nyumbani Roma Utuseme

Tunakupenda Baba Tunakumiss Mwan

Tunakukumbuka sana
 
Leo ndio nimepata fursa ya kusikiliza huu wimbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] it is better to be late than never [emoji1787][emoji1787] huyu jamaa kichwa chake anakijua mwenyewe na muumba wake nasikiliza wimbo ni vichekesho mwanzo mpaka mwisho
 
Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya Roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.

Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.

Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention

Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.

Hizi nyimbo za Roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145
Hakuna mtu duniani anayependwa na watu wote kama humpendi roma pita huku.
 
Back
Top Bottom