Rwetembula Hassan Jumah
Senior Member
- Jan 25, 2023
- 140
- 188
😁 we saumu imekushika pabaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh,mi mbona sijui nyimbo yako hata moja,labda ile siri ya nini uloshirikishwa na Rayvany
Hili jamaa lina chuki karibia na kila mtu,yaani tangu uchapiwe demu wako umekuwa zimbokoko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hatariii sanaaa.Kumbe ni DC kama tuna ma DC wa hovyo hivi....??
Roma kasema,
Ndio maana Njombe tuna miti na misitu ila tooth sticks tuna agiza china....
[emoji23][emoji23][emoji23]Mmh,mi mbona sijui nyimbo yako hata moja,labda ile siri ya nini uloshirikishwa na Rayvany
Hili jamaa lina chuki karibia na kila mtu,yaani tangu uchapiwe demu wako umekuwa zimbokoko
Da nilikuaga nakuona Una upeo Sana kumbe ni dishiNyimbo 10 za Roma zinalingana na Career nzima ya FidQ.
Hivi nani alimpa ufalme wa hiphop
mama D, hebu fanya umpunguzie walau hata akili kidogo tu huyu mtoa mada ili iweze kumsaidia kwenye kuchanganua vitu vidogo kama hivi.Roma Mkatoliki ni msanii-mwanaharakati
Ushauri mzuri sana huu.Wenye akili tubaki na RomaNenda kwa zuchu mkuu waache watu na roma wao
Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya Roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.
Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.
Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention
Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.
Hizi nyimbo za Roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145
Tupo tumejaa... Kila mtu na taste yake. Kuna watu sebene hawazielewi, wengine wanazikubali, the same to Taarab, Bongo fleva, Gospel,.. kuna wengine ukiwaambia nyimbo za kiingereza ni zao, ila wengine hawazikubali.Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya Roma?
Yaani bora akila andazi atapata faida kuliko kuichagua sisiemu, wewe mwenyewe si unaona hata taa tu za uwanjani zimewashinda mechi za kimataifa eti taa zinakosa mwanga taaa tuu kwanini usichague andazi hata ungekuwa wewe unanywea chai unapata nguvuHuwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya Roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.
Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.
Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention
Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.
Hizi nyimbo za Roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145
Leo ndio nimepata fursa ya kusikiliza huu wimbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] it is better to be late than never [emoji1787][emoji1787] huyu jamaa kichwa chake anakijua mwenyewe na muumba wake nasikiliza wimbo ni vichekesho mwanzo mpaka mwishoNipeni Maua Yangu Lyrics By Roma Mkatoliki Ft Abiud
(Copied and pasted from web, ni dhahiri kutakuwa na errors)
Sasa sijui nianzie wapi kifuani nimebeba meng
Na sitotenda haki nisiposema hiki sipend
Hiki napenda kile sitaki mambo ya kishenz
Tanzania haijaezekwa bati na wamekula pesa ya ujenz
Yaani nchi wanaifanya mti mjenzi anauona mba
Ndege ataona makazi mkulima ataona maza
Mganga atauona dawa na mpishi atauona kun
Ataemiliki mwenye power sisi atatusagia kungun
Na ukisema hawatufai wanakuumiza uwe mpol
Yaani wanaangua papai kwa kutumia gobol
Mnatumia nguvu kubwa kwenye mambo madog
Jeshi gani mpaka leo mmeshindwa kumjua kigog
Tukiongelea kutekwa eti tunarudia ajend
Hamjibu mnakwepa mbona mama anarudia kilemb
Nchi gani raia akihoji mnasema anakoso
Na akikosoa anatukana serikali hii sio p
Haya basi tuseme mko sawa na mna nia nzuri na sis
Mbona vyuma vimekaza halafu mama anaificha greas
Mara mkapandisha tozo kampeni mkono hatuwaung
Si tulihoji mkajibu kwa dharau tuhamie Burund
Tatizo mkishaapishwa tu mnawaza uchaguzi uja
Hamuwazi njia mbadala ya kumlinda mkulima na maza
Sasa Iringa si tuna maitu halafu tuspick twaagiza chin
Manaake hapo kwanza ncheke yaani bongo kikubwa uzim
Sa mnatuambia tujiajiri mbona nyinyi hamkujiajir
Okay nikupe bodacyangu kisha we unipe uwazir
Nikukabidhi vyeti vyangu hangaika navyo mwezi mmoj
Niko pale nakujgoja uje tuongee lugha moj
Mi sio CCM sio Chadema hili niliweke waz
Ila ukiweka CCM na Andazi ntachagua Andaz
Simuamini mtawala na mpinzani simsadik
Maana wanaendelea kukatika huku deejay kauzima Mzik
Na inaniuma kuona msomi wa degree tat
Nashindwa kumpa ajira sasa anauza nyanya karat
Sasa sijui mtaniua nikimshikia mama shiling
Maana hata inyeshe mvua mnasema anaupiga mwing
Na ninamkubali na nitamng’ata sikio kama huju
Wanaomkosoa ndo wanampenda wanaomsifia ndo maadu
Ili wapate teuzi ndo wanamlamba migu
Wakimpamba hawamsaidii Amiri Jeshi Mku
Tunakupenda Roma Tunakumiss Rom
Rudi Nyumbani Roma Utuseme
Tunakupenda Baba Tunakumiss Mwan
Tunakukumbuka san
Hivi hamjasikia tetesi kuwa remote iko msog
Si huku mageng imedoda magogoni imenon
Watu tatu ndani ya track moja wamekalia kigod
Ngolo Kante anampa Mbape cross anafunga Pogb
Hii nchi ina wenye nchi walanchi na wananch
Na kuendelea kuwachagua ni kwenda na mchanga mbich
Tuwajaribu wapinzani watawala si wameshapat
Ugoro umewaingia puani sasa ona wanapiga chafy
Wanatumia dollar kubaki kuongoza dol
Watawafunga watapora wataua watahonga vijor
Karatasi tunaibiwa za kura kwenye sanduk
Kwa hiyo mnatuonyesha ziwa huku mmeziziba chuch
Okay kura ziko 300 na kuna watu mia kwa jimb
Na kituoni hakukua na watu halafu wameshinda kwa kishind
Sa kama Askofu mfufua watu ameiba kura za wapinzan
Je atashindwa kuiba sadaka za kura kanisan
Hii ni gani mchungaji akitaka gari twamchangi
Muumini akitaka gari anaombewa tunamsali
Sa mchungaji tusimpe pesa tumuombeevna yeye pi
Tukae pale tusubiri miujiza ya wagalati
Wabunge wengi mlishinda kwa hisani ya mwendazak
Mkipatacho muende Chato mkumbuke hata ndugu zak
Jimbo hili haliendelei cause mmemchagua mpinzan
Haya sasa mmeshinda kote fauluni huo mtihan
Turuhusu siasa za amani turudi zile enzi zet
Uchaguzi sio siku moja ni mchakato wa muda mref
Mikutano ya nje na ndani ndo tunaimarisha cham
Daily mtulishe majani halafu sikukuu mtupe shawarm
Keki ya taifa ni kubwa tuache siasa za risas
Mnawaonea wakishika dola watalipa kisas
Tulipotoka ni mbali siasa za mwendazak
Msirudi msilale chali huku mnatutemea ma
Na BASATA msikie hili msije fungia huu wimb
Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shing
Sawa tulinde maaduli ila tusiue wabunif
Mtupende tunaokosoa kama mpendavyo wanaosif
Wengine wamekuwa viongozi na mliwaona tu marappe
Hiphop ni mkombozi na sauti isiyo na mipak
Ushauliza kwanini bega lipo karibu na kwap
Usiondoke baki hapa usikie verse inayofuat
Tunakupenda Roma Tunakumiss Rom
Rudi Nyumbani Roma Utuseme
Tunakupenda Baba Tunakumiss Mwan
Tunakukumbuka san
Nawashangaa vijana warembo na watanashati na nus
Wanaosema bila mlengo eti siasa haiwahus
Mwanasiasa anaweza amua tu na ukalala mahabus
Mnakosea wadogo zangu na kamwe sitoruhus
Siasa ndo inaamua sukari iuzwe shingap
Na inapanga kaliua ni wapi wajenge zahanat
Na ijue tofauti ya mwanasiasa na mwanaharakat
Mmoja ndo mzalendo mwingine maslahi binafs
Ntawafundisha kitu kabla hajawika jogoo alfaji
Pesa unayonunua maduta mkate unaolipa bil
Hoja yake inamlipa Raisi Polisi Mbunge Wazir
So una haki ya kuwakosoa maana we ndo umewaaajir
Tatizo hatuna ujasiri na akili tumekaza fuv
Vipi nitafuzu kichwa suzuki engine ya Isuz
Anayechelewesha msafara siku zote ni ng’ombe wa mbel
Ila anachapwa wa nyuma na ndo anayepiga kele
Na mjenga katiba mpya sio BAWACHA wala BAVICH
Eti wabonngo maji sio katiba mnawafich
Haya sasa hayo maji yako wapi mbona hamuonge
Uko wapi umeme mmebugia kiazi cha mto
Mdomo unacheza seben
Katiba iliyopo ni bora ipa ni bora kwa watawal
Ukipinga wanakupa keai na hauna hela kibata
Kwa mwamvulu wa maendeleo wanahairisha mchakat
Mbona mkoloni alijenga miundombinu yote hap
Na ili nchi iendelee inahitaji vitu vinne t
Uongozi bora, siasa sadi, Ardhi na wat
Yanga na Simba ni wapinzani ila sio kwamba hawapatan
Maji yanayotoka mto msimbazi ndo yanayojaza jangwan
Na hiyo ndo amani tuitakayo sisi sio vurug
Tunataka kuona Januari anamgongea fegi sug
Hakika naacha glasi ya Bapa mezani anaenda msalan
Anamuachia mwigulu anarudi na anakunywa kwa aman
Na sio utani msipojifunza hapa ndo basi ten
Aliyesema aomgezewe muda bungeni ndo ameaga mapem
Wakamlisha asali kwa kisu akalamba akamwaga win
Tangulia na dereva barua utaikuta chamwin
Mi nitakufa mimi ila ngoma zangu zitaish
Na mtakuja na mashada siku yangu ya mazish
Nipeni maua yangu niyanuse angali nipo ha
Nikiondoka mnikumbuke msilie bali mfurah
Tunakupenda Roma Tunakumiss Rom
Rudi Nyumbani Roma Utuseme
Tunakupenda Baba Tunakumiss Mwan
Tunakukumbuka sana
Hakuna mtu duniani anayependwa na watu wote kama humpendi roma pita huku.Huwa najiuliza kuna mtu anapenda muziki anaofanya Roma? Sijawahi kumuelewa hata siku moja, nyimbo zake nyingi huwa ni kama risala, Hakuna flow nzuri, mistari migumu meusi wala melodies za kueleweka.
Roma mara kadhaa amekua akitumia beef na wasanii wengine kama kiki kwake, lakini wasanii wengi wamekua wakimpuuza.
Media zimekua zikimpa sana attention lakini hamna kitu, Kuna wasanii wengi wazuri sana wenye flow nzuri na mistari migumu kabisa ya hiphop hawapati attention
Roma anasema ikiwekwa ccm na andazi anachagua andazi. Hivi kweli mtu mwenye akili anaweza kuimba kitu Kama hiki? How andazi linaweza kuwekwa kwenye ballot paper? Huwa naona hii mifano inatolewa na Watoto au watu wazima wenye utoto, ni kama zamani tulipokua watoto tunatembea tunatoleana mifano ikitokea likadondoka kontena la hela hapa tunagawana vipi.
Hizi nyimbo za Roma ni ngumu sana kudumu, ni nyimbo ambazo ukisikiliza Leo kesho hutamani tena kusikiliza.
View attachment 2593145
🙄Mjinga wewe achana na Roma. Wewe ndiye msanii wa hovyo.
Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app