Roman Abramovich 'begs his rich celebrity friends for $1million loans to maintain his staff

Kama wamekimbilia Israel huenda wasiguswe na vikwazo maana Israel ni mshirika wa mabeberu.
Wengi wana uraia tayari. Isitoshe, Israel haijatangaza vikwazo vyovyote binafsi kuhusiana na huu mgogoro ingawa wamesema hawataruhusu kufanywa kichaka cha oligarchs kujikinga dhidi ya vikwazo walivyowekewa.

Wanaendelea kuwasili. Mwingine huyu hapa, kawasili hivi karibuni:
 
I don't trust source of this info , $1m abromovich? Hiyo loan hata SME hapa Bongo anaweza ku raise loan pale CRDB?

Kwamba all his investment portfolio ziwe Europe and USA? Russia hana investments while inasemekana alikuwa na $1.3 billion investment!

Kwanza freezing investment zake zipo sheria za kulinda key stakeholders kama Tax Authorities and Employees maana ni out of his discretion. Employees and their association ndio wanapaswa kuhakikisha wanapata haki zao.

Kama ni immediate cash kulipa wafanyakazi lazima angeshauriwa na Financial advisors wake kama sheria zinaruhusu yeye ku inject funds purposely to cover staff payroll. Kama anapata wazo la kuomba marafiki kwanini asivute funds zake za Russia kama sheria zinaruhusu?


I don't buy this .....
 
Umejitahidi lakini bado huelewi mambo haya.
Kiufupi tu Putin amewekwa pale na hawa Oligarch.
 

Iraq wakabeba zahabu zote hadi wajeda wao walikua wanazichezea,wakaingia Kwenye museum wakabeba picha na vitu vingine vya arts,mafuta wakabeba pia,wakafreeze hela zao etc jamaa ni wezi sana hawa
 
Hao hata bwana yule alipojidai kuwabania maslahi yao kwenye dhahabu wakatuminya kiduuuchu. Wenyewe tukaachia.

"You are either with us or You're against us" - George Bush jr.
Alipoingia bibi mla urojo akatanua na kufungua nchi . sasa hivi ni kujipigia tu .
 
Na hii Vita haiwezi kuisha Leo Wala kesho.
Maana anayoyataka Putin hayawezi kutokea.
Na Ukraine hawawezi kukubali kamwe .hapo ni lazma mmoja ashindwe hakuna makubaliano ya mezani.
 
hivi ujinga wa wamagaribi kuanza kuadhibi mtu binafsi kwasababu tu ni raia na rafiki wa mtu wasiyemtaka? ni ujinga gani huu?
 
Matajir wengi hasa wa Asia wataanza ogopa kuinvest hzo nchi coz ya sanctions au watakuwa wanatunza pesa kwenye bank za nyumbani.

Matajir wengi wamepata somo.

Hiyo sio haki ni udhulumaji na wizi mtu kapata tabu sana kuzipata hzo pesa.
Ni sawa na kuwa tajiri hapa Tanzania alafu unataka kuikwepa Dar ES Salaam kibiashara. No way

Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
 
hivi ujinga wa wamagaribi kuanza kuadhibi mtu binafsi kwasababu tu ni raia na rafiki wa mtu wasiyemtaka? ni ujinga gani huu?
kanuni inasema .Adui wa adui wako ni RAFIKI wako. Na kinyume chake yaani RAFIKI WA ADUI WAKO NI ADUI WAKO . harafu huyo sio tajiri , huyo ni mtunza fedha (kibubu) wa fisadi PUTIN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…