Mzee unajua masoko ya hisa yanavyofanya kaz au umeongea tuMatajir wengi hasa wa Asia wataanza ogopa kuinvest hzo nchi coz ya sanctions au watakuwa wanatunza pesa kwenye bank za nyumbani.
Matajir wengi wamepata somo.
Hiyo sio haki ni udhulumaji na wizi mtu kapata tabu sana kuzipata hzo pesa.
😀😀😀😀 huyo unamuonea mkuu 😂😂😂😂.......!!!! masoko ya hisa ayajulie wapi huyo yuko zake Buselesele kwa shemeji yake .😀😀😀😀😀Mzee unajua masoko ya hisa yanavyofanya kaz au umeongea tu
USAHIHI:LIbya walitengeneza maandamano kwa mgongo wa kutaka demokrasiaHizi nchi mbili Uingereza na Marekani naona mara nyingi zinatumia nguvu yao kiuchumi kuwaumiza wasio na hatia na bahati mbaya hakuna anayewalaumu.
Mfano, Marekani alivamia Iraq tukaambiwa kuna nyuklia, lakini hakuna chochote walichowahi kutuonesha mpaka leo, wakavamia tena Libya kwa kisingizio kile kile lakini hakuna walichotuonesha hata baada ya vita ile.
Nashangaa leo wanamuhukumu Abramovich kwasababu tu ana urafiki na Putin, kwao hili ni kosa kubwa wameamua kumuadhibu, naona dunia tunayoishi inaendeshwa na mataifa makubwa mawili yaliyojaa unafiki wa hali ya juu sana.
I wish hao wachina nao wawe na nguvu zaidi kiuchumi waje kuwalainisha hao wajuaji wawili.
Kutoka kuuza magurudumu used yamagari Hadi ubilionea nilikua nashangaaaEasy come easy go. Ukipata mali kimagumashi itaisha kimagumashi.
Huyu bwana ni fisadi akishirikiana na rais wake .
View attachment 2178483
View attachment 2178484
Angalau umeliona hili angalau [emoji122][emoji122][emoji122]Ila hata hao ulaya wahuni tu, miaka zote wanafaidi hela za dhulma ila leo ndio wanachukua hatua maana Vita vimetokea ulaya, washenzi tu hao.
magurudumu wapi hao ni wapiga madili tu 😛😛😛😛 . kipindi kile USSR ilipodondoka wa 🇷🇺🇷🇺 wajanja wakajimilikisha na kuifisadi nchi.Kutoka kuuza magurudumu used yamagari Hadi ubilionea nilikua nashangaaa
Na ununuwaji Chelsea na uwekezaji ulaya ilikua kwalengo la kikachero abramovic alikua mfadhiri mkubwa wa majasusi wa kirusi na walioizindua dunia nimajasusi wa Siri ambao ni ndumilakuwili wa kirusi (doublestandard ) ,mmojawapo alipigwa sumu Kali London uingereza ikamuhudumia na mwanae mpaka leo alipona na ndokisa chakwanza kilipelekea kufurushwa uingereza bwana abromovic kwenda uhamishoni israelmagurudumu wapi hao ni wapiga madili tu [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14] . kipindi kile USSR ilipodondoka wa [emoji635][emoji635] wajanja wakajimilikisha na kuifisadi nchi.
Ili kujikosha wakaanza kuwekeza pesa ulaya kiujanja ujanja . Ndo huyo jamaa akakimbilia [emoji636][emoji636].
Akainnunua klabu ya Chelsea kwa bei ya kutupwa .
uko sahihi . na kingine ni kuwa serikali ya 🇬🇧🇬🇧🇬🇧 ilikwisha mkatalia kumpa uraia wa UK.Na ununuwaji Chelsea na uwekezaji ulaya ilikua kwalengo la kikachero abramovic alikua mfadhiri mkubwa wa majasusi wa kirusi na walioizindua dunia nimajasusi wa Siri ambao ni ndumilakuwili wa kirusi (doublestandard ) ,mmojawapo alipigwa sumu Kali London uingereza ikamuhudumia na mwanae mpaka leo alipona na ndokisa chakwanza kilipelekea kufurushwa uingereza bwana abromovic kwenda uhamishoni israel
the same to what Ukraine richest guys pass through currentlyView attachment 2177990
Abramovich's luxury lifestyle is being squeezed by EU and UK sanctions
jinga kbs , unahisi ukraine hakuna waliopoteza mali zao ? yaan mtu mmoja unamuonea uchungu dhidi ya watu zaid ya million 20 waliopoteza makaz na mali zao zote ss hv wanaishi km digi digi ndani ya nchi ukiuliza eti kisa nchi yao inataka kujiunga na NATOHizi nchi mbili Uingereza na Marekani naona mara nyingi zinatumia nguvu yao kiuchumi kuwaumiza wasio na hatia na bahati mbaya hakuna anayewalaumu.
Mfano, Marekani alivamia Iraq tukaambiwa kuna nyuklia, lakini hakuna chochote walichowahi kutuonesha mpaka leo, wakavamia tena Libya kwa kisingizio kile kile lakini hakuna walichotuonesha hata baada ya vita ile.
Nashangaa leo wanamuhukumu Abramovich kwasababu tu ana urafiki na Putin, kwao hili ni kosa kubwa wameamua kumuadhibu, naona dunia tunayoishi inaendeshwa na mataifa makubwa mawili yaliyojaa unafiki wa hali ya juu sana.
I wish hao wachina nao wawe na nguvu zaidi kiuchumi waje kuwalainisha hao wajuaji wawili.
ila matajir wa ukraine kuharibiwa mali zao ambapo hawata zipata tena hata amani ikirud leo , hao huwaonei uchungu ? dunia ina watu wanafiki sanaMatajir wengi hasa wa Asia wataanza ogopa kuinvest hzo nchi coz ya sanctions au watakuwa wanatunza pesa kwenye bank za nyumbani.
Matajir wengi wamepata somo.
Hiyo sio haki ni udhulumaji na wizi mtu kapata tabu sana kuzipata hzo pesa.
ameambukiza ujanja wake Hadi wauza magurudumu used temeke na kariakoo mule ukitaka kitu toka kwao uwage makini kwelikweliuko sahihi . na kingine ni kuwa serikali ya [emoji636][emoji636][emoji636] ilikwisha mkatalia kumpa uraia wa UK.
Wanasema sasa hivi amekwenda huko uturuki amekaokota ka timu anataka akamiliki.
Washauri wa mambo wamemshauri rais wa nchi hiyo Eldogan awe makini na huyo bwana .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ila ni haki mali za wa ukraine kulipuliwa tu na kuweka uhai wao rehani eti kisa unaizuoa nchi yao isijiunge na NATOAnachotendewa sio haki kabisa
si bora kaachwa hai ila matajir wa ukraine mpk wanapoteza uhai kabisa ndan ya nchi yao kisa wanazuiliwa wasijiunge na NATO , au hiyo ni haki ?Ila makampuni yao makubwa yaliyowekeza huku Africa, yanavuna utajiri wa huku na kupeleka kwao.
hahaaa acha adabu iwakae vzr , waukraine wanapoteza mali na uhai , mm ningekuwa kiongoz wa taifa moja la mabeberu basi nawanyonga tu kama wao wanavyoua matajir wa ukraine pamoja na kulipua mali zaoBaada ya vikwazo kuanza kutangazwa, oligarchs wengi walikimbilia Israel kwenda kutafuta nyumba za kupanga hasa wale wenye asili ya Kiyahudi ambao Israel kwao ni kama nyumbani kwa mujibu wa sheria.
Ni miongoni mwa matukio ya kustaajabisha sana kuona "wakimbizi" wakiwa na private jets na ma-briefcase yenye "ukwasi" wa kutisha, tofauti na wakimbizi wengine wengi tuliowazoea.
hahaaaaNdo maana nmekuta missed call zake nne, ngoja nimpige tafu (joke)
hahaa wansema Putin nae ana mansion kubwa pale udatchHawa jamaa ni matajiri wa michongo, wamepora utajiri wa Urusi wakawekeza kwa mabeberu.
akiwa siti ya mbele tyr kuanza kikao cha kumnanga Joeli KibadeniIko hivi nyingi ya hela za hawa matajiri ni za huyo kichaa Putin.
Wewe unafikiri nchi za ulaya ni vichaa kuwapora hizo pesa ?
View attachment 2178495
View attachment 2178496
we unaonajKwa hyo wanataka awe masikini.
ndo maana matajiri wa Tanzania uwa wanaweka hela zao kwenye majaba na mandoo.
kwan Putin anaowaua kuwa kule Ukraine waliwai kumjibu au kuomba vita na yy ? au walishiriki kwenye kutuma maombi ya kujiunga na NATO ?hivi ujinga wa wamagaribi kuanza kuadhibi mtu binafsi kwasababu tu ni raia na rafiki wa mtu wasiyemtaka? ni ujinga gani huu?