Roman Abramovich 'begs his rich celebrity friends for $1million loans to maintain his staff

Na ndo maana kwenye hii vita Israel amejifanya hajui kiendeleacho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Israel anakosa kufanya kitu sababu Zerensky ni Jew, Russia ina Jews wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalau umeliona hili angalau [emoji122][emoji122][emoji122]
jaman kumbuken chanz cha mgogor mwambie babu yenu aache uvamiz kule ukraine ndo na hao oligarch wataachiwa , uwanja wa dyiv umelipuliwa kumebakia eneo la waz ebu fikiria kias cha pesa kimepotea hapo ? hiyo ni kwa uchache tu ila in details wa ukraine wamepoteza vingi sana ila nashangaa kumuona pimb mmoja anawaonea maliolirgach huruma pekee yao
 
kwan Putin anaowaua kuwa kule Ukraine waliwai kumjibu au kuomba vita na yy ? au walishiriki kwenye kutuma maombi ya kujiunga na NATO ?
tatizo, wanavyomtesa tajiri wa chelsea, amewakosea nini?
 
All is fair in love and war.

Kama kumminya Roman kutamfanya Putin asitishe vita then aminywe.
hawaπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί oligarchs wafirisiwe hadi watembelee ndala .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hawaπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί oligarchs wafirisiwe hadi watembelee ndala .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umenichekesha sana mkuu
 
Reactions: F9T
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…