Roman Abramovich : The Self Made Billionnaire

Mkuu hivi kweli unaamini kwamba OJ hakufanya hayo... ila ukweli ni kwamba hakuba concrete evidence ya kum-connect Abramavich na mambo mengi anayofanya sababu anajua anachokifanya vingi ni speculations ambazo ukienda nazo mahakamani huwezi kushinda kesi (thats what makes these guys untouchable) Sio kwamba mahakama zinawaogopa ila hata ukiwapeleka mahakamani utashindwa kesi
 

Haya kama ni hivyo how about ile kesi ya Samsung v/s Jobs/Apple??? Do u know that Apple wana scandal iko mahakamani na wanafikiria ku-settle? Issues kama hizo zipo sana esp. kwenye highly competitive industries. Gates ana issues zake za unfair competition ambazo alisettle huko nyuma ambazo zilimfanya atetereke kutoka networth ya 90 billion hadi around 50's kwa sasa
 
Hakukuwa na clear cut eveidence to connect OJ with the murder of his ex and boy friend. The evidence was circumstacial. I believe OJ did it, but mahakamani kunatakiwa ushahidi wa kukutia hatiani na sio speculation
 
Touche!

Mkuu post yako ya kwanza ulitafsiri na kuiandika as if umeiandika wewe mwenyewe kwa kufanya uchunguzi wako mwenyewe, ndio maana nikakwambia whether source yako ni kitabu au mtu mtaani basi fanya jambo la kiungwana na kusema umeitoa wapi hizi blah blah za sijui kujump into conclusion ni kujaribu kukwepa ukweli kuwa huweka sources za ulikoitafsiri hiyo article.

Kuna ugumu gani kusema umeitafsiri kutoka Source A, B, C and D kama ulivyofanya kwenye nyekundu hapo juu kulikuwa na ugumu gani kufanya hivyo tangu mwanzo wakati unapost? Heck ukisoma baadhi ya hizo sources ulizolist hapo juu nao wameandika wameotoa wapi information zao, with exception of Roman Abramovich ambao wameandika kitu ulichoandika wewe (kwa kingereza) na wana hadi picha uliyopost.

Haya samahani kwa kukutuhumu kuwa umetafsiri kutoka Wikipedia.

Haya mkuu nimechemka
 

Mkuu according to Alexander Litvinenko (yule russian spy aliepewa sumu pale London) na yule Boris ambae alimsaidia Roman kupata ile keki kwenye loans for shares programme ni kwamba Roman na Putin ni kitu kimoja na wapo karibu sana na inasemekena Roman alishiriki na kuhakikisha kwamba Putin anakuwa Rais baada ya Yeltsin..

Kwahiyo connection za huyu jamaa ni za nguvu sana Abramovich, Lugovoy and Putin - the background - Times Online
 

Mkuu a fact is a fact na post zangu huwa ni short and clear and to the point kama source ni moja taweka source lakini kama source ni zaidi ya kumi siwezi kujaza paragraphs kwa kuweka sources (hapa siandiki thesis mkuu ) na kwa kuchemka kwako kwamba hii imetafsiliwa kutoka wikipedia kumenifanya nitoke nje ya point na kujaza takriban post kama nne ambazo hazina maana na huu mjadala.. (and in the end imeonekana you are deadly wrong na hii information haijatoka wikipedia..) duh sijui kwa mawazo yako unadhani kwamba kila information inatoka wikipedia...??

Duh kwahiyo tunaposema mfano Nyerere was born in Butiama and studied in Tabora Boys teach Miayo and later become president of Tanzania what is the source..!!!??
 
Soma tena post yangu #42 https://www.jamiiforums.com/celebri...the-self-made-billionnaire-3.html#post2348363

Niliandika kuwa ata hao wikipedia wanaweka links za sources zao... Vijinamba kwenye mabano.
Haya mkuu naishia hapa... ila acknowledgement ni jambo la muhimu.

Back to the subject at hand, kama Balzac anavyosema "Behind every great fortune there's a great crime". Nina uhakika kama Abramovich asingeinunua Chelsea wahandishi wa Uingereza wasingejisumbua kutaka kujua amepata vipit utajiri wake.
 

Kweli kabisa mkuu kila Industry ina wizi wake (kwahiyo hatuwezi kumfananisha Gates na Mother Theresa) na vivyo hivyo kipindi Roman anajichukulia utajiri Russia bila kutumia mbinu ambazo wengine walikuwa wanatumia hazingeweza ku-survive... "When in Rome do like Romans"
 
Obvious Mkuu bila kumuona huyu jamaa anaekuja kwenye nchi yao na kumwaga mapesa kiasi hicho watu tusingemjua..., after all hata Russia nadhani ni tajiri wa nne na kuna wenzake ambao wanapesa kuliko yeye na wameiba kuliko yeye lakini waandishi wa England hawakujisumbua.., alafu wana bahati sana sababu russia ukienda unachimba chimba habari za mtu unaweza ukajikuta unapata kifo kabla ya wakati wako
 
Nimekuwa nikiangalia film nyingi sana za hawa jamaa na hasa ilikuwepo Film Documental moja ikielezea jamaa waliokuwa kwenye hiyo vita ya Ex-KGB na POLISI wakati wa Ukoministi. Wengine wakiwa ni Wafungwa au wameachiwa huru na wakielezea jinsi mambo hasa yalivyokuwa.


Miaka ya 90 nilikuwa pia na jamaa zangu wengi sana wakisoma Russia na tukikutana likizo, ilikuwa story ni hizo na kwa sababu mie ni mpenzi sana wa hizi story za Ujasusi, nilikuwa nikifuatilia sana na kuuliza tena na tena kinachoendelea huko Russia.

Hicho kitabu sijakisoma ila nina imani hata nikisoma, itakuwa ni marudio ya mambo mengi niliyoyasikia na kuangalia kwenye TV.

Kuna jamaa mmoja tajiri sana anatokea Chechnia, kuna mtu ana mkumbuka? Huyu ni jamaa pekee ambaye ukiacha Rais, msafara wake huwa unawekwenda kwa ving'ora vya POLISI na hausimami. Inasemekana analindwa sana kwa sababu ana maadui wengi mno. Kama sikosei zaidi wanaogopa ndugu zake wa Chechnia ambao wanamuona kama msaliti.
Sikonge umegusia kitu kimoja muhimu sana katafute kitabu cha Gang Of Lubyanka cha Alexander Litvinenko kama hujakisoma anazungumzia jinsi jamaa kutoka kwenye Security Services (kuanzia KGB na sasa FSB) walivyo jitransform kwenye umafia.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…