Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,912
platozoom, post: 33104613, member: 67909"]
Mimi nimekuelewa.
The bold ni mwandishi mzuri lakini concern yako pia muhimu hasa bandiko lako la kwanza. Ila vumilia tu, wabongo wengi tukipenda tunapenda haswaa
[/QUOTE]
Mkuu, asante kuona tatizo lilipo.
Namie pia, nilimpongeza, The bold, kwa kazi nzuri ila tatizo lipo kwenye vyanzo anavyovitumia kutoka kwenye vyombo vya kiintelijensia sababu taarifa zake ni za uongo ambapo watu wengi hawaoni hilo.
Ila anaaminisha watu kuwa anazo taarifa sahihi za Intelijensia yote ya Afrika ya Mashariki haaaa haaaaa haaaa wacha tu nijichekee.
Tutafika tu hatakama tukiwa tumechoka kukumbushia kuwa makini na taarifa tunazozisoma/kusikia hata kuona.
Most of us, we don't know this simple and clear principle - Whatever you see nothing seems to be what you see" by Poise, October, 2019 - Jamiiforums.