Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

platozoom, post: 33104613, member: 67909"]
Mimi nimekuelewa.
The bold ni mwandishi mzuri lakini concern yako pia muhimu hasa bandiko lako la kwanza. Ila vumilia tu, wabongo wengi tukipenda tunapenda haswaa
[/QUOTE]

Mkuu, asante kuona tatizo lilipo.

Namie pia, nilimpongeza, The bold, kwa kazi nzuri ila tatizo lipo kwenye vyanzo anavyovitumia kutoka kwenye vyombo vya kiintelijensia sababu taarifa zake ni za uongo ambapo watu wengi hawaoni hilo.
Ila anaaminisha watu kuwa anazo taarifa sahihi za Intelijensia yote ya Afrika ya Mashariki haaaa haaaaa haaaa wacha tu nijichekee.

Tutafika tu hatakama tukiwa tumechoka kukumbushia kuwa makini na taarifa tunazozisoma/kusikia hata kuona.

Most of us, we don't know this simple and clear principle - Whatever you see nothing seems to be what you see" by Poise, October, 2019 - Jamiiforums.
 
Most of us, we don't know this simple and clear principle - Whatever you see nothing seems to be what you see" by Poise, October, 2019 - Jamiiforums.[/QUOTE]Kwahyo mkuu, shida yako kubwa ni nini.???

Tuache kusoma makala za The bold.????

Andika yako basi, .!!!

Silly..
 
Kinachonishangaza zaid wewe muelewa wa mambo ndo kwanza hata kuleta uzi uliosahihi huwezi, Kama unayajua mambo leta uzi faras mweupe ww, you know nothing my dear empty headed.
 
Mfano hapo Tanzania ; unaelewa ni kwa nini wahindi wanaishi maisha wanayoishi ?
Mkuu hapa unaweza kufanunua?umenigusa sana wale jamaa mi huwa siwaelewelew
 
Yaani huelewi kabisa. Wewe endelea tu.[/QUOTE]Watoto hawawezi kukuelewa.
 
Mfano hapo Tanzania ; unaelewa ni kwa nini wahindi wanaishi maisha wanayoishi ?
Mkuu hapa unaweza kufanunua?umenigusa sana wale jamaa mi huwa siwaelewelew

Mkuu nitaharatisha mambo nikifafanua maisha ya watu. Elewa tu kuwa dunia hii ya sasa yaliyotendaka Russia hata leo hivi yapo tena ni kwa dunia nzima.
 
dumbi, post: 33113210, member: 472600"]
Yaani huelewi kabisa. Wewe endelea tu.[/QUOTE]Watoto hawawezi kukuelewa.
[/QUOTE]
Mkuu, ni kweli. Watoto wanasoma bila kitu vichwani mwao hivyo hapa JF ndipo wanapopata cha kuweka kwenye vichwa vyao sasa lazima wapokee kila kitu kwa maana hawana kitu vichwani.
Ni tatizo sana kwa nchi yetu, "most of the population are not well informed or not at all' Bad indeed sometimes they are fed wrong information or misleading.
 
Kinachonishangaza zaid wewe muelewa wa mambo ndo kwanza hata kuleta uzi uliosahihi huwezi, Kama unayajua mambo leta uzi faras mweupe ww, you know nothing my dear empty headed.

ashidodi,
Matusi yako yamekurudia.
 
platozoom, post: 33104613, member: 67909"]
Mimi nimekuelewa.
The bold ni mwandishi mzuri lakini concern yako pia muhimu hasa bandiko lako la kwanza. Ila vumilia tu, wabongo wengi tukipenda tunapenda haswaa

Mkuu, asante kuona tatizo lilipo.

Namie pia, nilimpongeza, The bold, kwa kazi nzuri ila tatizo lipo kwenye vyanzo anavyovitumia kutoka kwenye vyombo vya kiintelijensia sababu taarifa zake ni za uongo ambapo watu wengi hawaoni hilo.
Ila anaaminisha watu kuwa anazo taarifa sahihi za Intelijensia yote ya Afrika ya Mashariki haaaa haaaaa haaaa wacha tu nijichekee.

Tutafika tu hatakama tukiwa tumechoka kukumbushia kuwa makini na taarifa tunazozisoma/kusikia hata kuona.

Most of us, we don't know this simple and clear principle - Whatever you see nothing seems to be what you see" by Poise, October, 2019 - Jamiiforums.
[/QUOTE]
Nilishalisema hili, watu wakanijia juu. Jamaa naona anajiinua kwa wapumbavu wasioweza kudigest kila kitu wanachopewa.

Huyu bwana mdogo anajikuta ni afisa usalama ila hakuna analolijua, watu wanaoelewa mambo wanapita bila kusema.
 
We nawe tutolee upumbavu wako hapa.
 
Mliopanic someni mtapata maarifa na kuelewa mambo kwa usahihi na siyo kusoma kama kuku waliokatwa vichwa.
[/QUOTE]
Msomi mwenzangu, naamini research inapingwa na research, uongo unapingwa na ukweli kama kweli unazungumzia usomi na sio majungu.. Kwahiyo utaheshimika kama utatuletea kilicho cha kweli kwa jinsi unavyofahamu tukisome nasi tufuatatlie na kulinganisha. Lakini pia upate muda utueleze hicho unachokijua wewe kuwa ni cha kweli ndipo sasa wasomaji wengine tutachuja na kuona kipi ni cha kweli.. Sio kuleta upingamizi tu bila kuleta ushahidi kwa kina.. Mpaka sasa wewe ni mpika majungu tu na unachemkwa na roho mbaya na wivu juu, ndio tafsiri tunayoiona kwako wasomi wenzako.. Na usipoleta hicho cha kwako unachokliita cha kweli, tafadhali ukae kimya utuache wajinga tusiopenda kujisomea kama wewe mjanja tuendeleee kudanganywa..
 
Yesu alikosolewa,sshangai kuona habibu anakosolewa na tusishangae kuona anakosolewa..wakosoaji wapo tu snce day one...ni kuwapuuza tu...ttzo watz wengi ni much kno sana..wew km una ukwel wako ambao unaona unafaa kuletwa hapa ulete sio unaongea ongea km barmaid ameona mwekundu...
 
Nilishalisema hili, watu wakanijia juu. Jamaa naona anajiinua kwa wapumbavu wasioweza kudigest kila kitu wanachopewa.

Huyu bwana mdogo anajikuta ni afisa usalama ila hakuna analolijua, watu wanaoelewa mambo wanapita bila kusema.[/QUOTE]Huyu bwana mdogo anajikuta ni afisa usalama ila hakuna analolijua, watu wanaoelewa mambo wanapita bila kusema.

Ww ni mjinga huandiki unachokijua kazi kukosoa.
 
Poise nenda kaandike hata nyimbo za singeli zitakulipa kuliko kuja kufatilia facts za mwenzako, sisi ambao hatuwezi ku-digest tuache, Kama kweli wew ni gwiji njoo na uzi tofaut na hapo ntaendelea kukuona bonge la boga ambalo halina mbegu( empty headed)
 
sirmweli
sirmweli
sirmweli

Hizi sijui ni bange.?? Au ni akili za kawaida.!!!!

Mtu kaleta makala yake, tunaosoma mnatuita wapumbavu, sasa nyie waelevu tuleteeni zenu ili tuache za The bold hamtaki.. kazi kupiga majungu kama m#0o imewanasa m#u*D&nI..

Ndugu ,sisi ni wapumbavu tumekubali, sasa tufanye tunamlaumu the bold kwa kutufanya wapumbavu, basi tunakuomba wewe ututoe kwenye upumbavu tuletee makala kama hizi.!! Huwezi.!!!!

Kuna matakataka mnatia hasira jamani, khaaa...
 
Wana wivu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…