Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
-
- #1,141
Habib ww ni nyoko, ww n nouma, ww n kiboko, kudadeki zako uwa unanifurahisha sana hakuna uzi wako uliowahi kuniangusha hongera sana dadeki zako, achana na hao wanga wanaosema ujinga na wao wakacopy watuletee kama awajaleta vi definition vyao vya kingereza hata ku translate wanashindwa[emoji23][emoji23][emoji23] Ishi miaka kibwena ndugu natarajia utakuja mzigo mzito baada ya huu
Cheers The Bold!
Gracias Habibu.
Habibu kazi unayofanya ni kubwa nasema hili kutoka ndani kabisa ya moyo wangu maana nimejaribu kufatilia mwenyewe kwa mwanga uliotoa hapa hata haikuwa rahisi sawa napata maana lakini ule udambwi dambwi wa simulizi ni haupo kabisa nikaacha kwa wanaobeza ni kawaida yao kufanya hawfanyi na hawapendi wengine kufanya
Ukifanya ukafiri ili upate mali, ni lazima moto ukuchome.
Tutakunyofoa kabisa na genge lako la kutaka kufanya ukafiri.
mliowahi kusoma threads za Habibu B. hanga ipi ni nzuri sana niipitiee...
Please Tag me mzee baba
Hii ni burudani...sidhani kama ni mahali pa kuweka ugomvi. mkuu unaweza kuanzisha uzi ukaweka nondo zako na wewe tusome...
Asante sana bro. Unajua I dont care kama stori hii ina ukweli kwa asilimia ngapi (lazma tu kuna mahali unaongeza au kupunguza chumvi kidogo ili inoge). Lakini nimejifunza mengi sana kuhusu ulimwengu huu tunaoishi. Ya kwamba, kuwa mwanasiasa mkubwa au tajiri mkubwa lazma ujitoe mhanga kwelikweli. Kama huna "guts" kaa pembeni uwe mfuasi, mshangiliaji au mlamba viatu wa wenye hizo guts.
Kuna Watu humu ni kama vile wame kalia kitu flan hivi au wana kipele some where hawatulii na hawaleweki wanataka nini au wanataka kufikisha Ujumbe gani ,wana hangaika tu for no good reson。
Pamoja sana kiongozi The Bold
Kaka kanyaga twende! Ubarikiwe sana.Bila shaka mkuu..
Poise in academic grounds you don't just make noise; you falsify what has been stated by giving what you assume to be correct argument by giving data. What you've written is mere words not supported by facts.
The Bold has presented names, dates and events. He has shown connectivity and the like. What have you given? Lamentation, blah, blah, blah! and other rubbish. If you really know "Wild, Wild Africa" give us names, give us dates, give us events, give us location just like The Bold does. If you cannot, you will be very stupid and I'll not argue with you anymore!
Kaka achana na huyu bwege. Huyu ndio vile vi-Tiss huwa vinajitangaza mitaani kumbe Ni vitaahira tu. Kimsingi hajui anachokupinga ila anatafuta Kiki lakini kumbe Ana ji-expose alivyo mweupe kichwani. Bro I know it takes a hell of brain and resources kutuandalia hizi Makala Tena for free. Just live that stupid woman alone. Mimi Nampa mtihani aandike article yake tuipende Kama Kweli kichwani zimo.Chief huyu dada yetu ana obssesion na mimi kitambo sana. Huu sio uzi wake wa kwanza. Kila akiona jina langu lazima apate kiungulia.
Ana obssesion ya hatari..
Hahahaaa broh...Ila dadangu jinsi ulivyo na hasira na mimi utadhani nimekuzalisha alafu sitoi child support.
Daah hii obssesion uliyonayo kwangu mpaka mkewangu ameanza kuwa na wasiwasi.
Hebu nijuze PM nini kinakusibu maana enzi zangu za ujana 'nimehangaika' vya kutosha usijekuwa na mapacha wangu.
Usijisikie vibaya sister, niweke wazi..
Haha, eti greenwichHuyu ndio the Bold anawaonjesha mpambane na hali zenu zipo google hizi stori wengi wenu wavivu kusoma ile lughya ya pale Greenwich
Unamfaham Poise ?Kaka achana na huyu bwege. Huyu ndio vile vi-Tiss huwa vinajitangaza mitaani kumbe Ni vitaahira tu. Kimsingi hajui anachokupinga ila anatafuta Kiki lakini kumbe Ana ji-expose alivyo mweupe kichwani. Bro I know it takes a hell of brain and resources kutuandalia hizi Makala Tena for free. Just live that stupid woman alone. Mimi Nampa mtihani aandike article yake tuipende Kama Kweli kichwani zimo.
Sent using Jamii Forums mobile app