Walipigana kwenye wrestlemania Block na Roman,alichezea kichapo toka kwa Block lakini akakaza anakaribia kushinda Seth Rolin aka cash in money in the bank brief case akachukua mkanda wa heavy weightmasai dada
WWE siku hizi bwana haivutii kama zamani sijaangalia muda mrefu, thou Roman Reigns ni noma sana.
Tell me hivi Brock Lesnar bado yupo?
Huyu Roman Reigns anaweza akapigana naye hata dakika kumi kweli?
Hahaha kwa nini humpendi huyo baba wa kulia? Sheamus a.k.a The Celtic Warriorhuyu baba wa kulia simpendi
TECNO-C5 Wereva
shamasi[emoji28] [emoji28] [emoji28] silipendi.Hahaha kwa nini humpendi huyo baba wa kulia? Sheamus a.k.a The Celtic Warrior
Hana cha ziada wwe wanambeba sana kwa sababu ya Marketing wise ana sura inayouzika na, kwenye wrestling side hana kitu cha kusema anawazidi akina Cezaro, KO, Randy Orton, Seth Rollins,AJ styles, Finn BalorROMAN REIGNS my favorite wwe superstar
shamasi[emoji28] [emoji28] [emoji28] silipendi.
hivi haitwagi Chavo huyu
TECNO-C5 Wereva
[emoji23][emoji23]kupigana halijui linaboaYani hata mimi aise clipendi. Linajiona kama RONALDO
Randy Oton Mhenga[emoji23][emoji23][emoji23].Hana cha ziada wwe wanambeba sana kwa sababu ya Marketing wise ana sura inayouzika na, kwenye wrestling side hana kitu cha kusema anawazidi akina Cezaro, KO, Randy Orton, Seth Rollins,AJ styles, Finn Balor
Sema finishing apo kati ya uliozitaja nzuri ni ya rko 2 ......sema kuna iyo moja undertaker aliianzshaga anakukunja roba kwa miguu...iyo alikuwaanatoa wa2 damu nusu amuue edge kipindi ichoRandy Oton Mhenga[emoji23][emoji23][emoji23].
ko,seth rolin,Aj nk sijamuona wa kumfikia roman reigns
Roman n mkazaji mzuri
mimi binafsi napenda mwanamieleka asieshindwa, asiepigana battle za uonevu, na cheat cheat kibao yani habahatishi...
asie vaa machupi , mfano reigns ana mavazi yake mazuri yanayomtambulisha kabisa sio mambo ya vichupi...
pia naangalia silaha za kumalizia ,mfano reigns ana ngumi yake ile akipiga huamki, Randy oton ana Rko, john cena anayo yake ,Dx michael shown alikuaga na teke nk
so Roman reigns ana hizo sifa yuko Fair, loyal ,mvumilivu anauzika nk
chunguza wana mieleka wengi wanaopendwa wana hizo sifa na sio wavaa vichupi. Mfano John cena ,rey maysterio nk
TECNO-C5 Wereva
We jinga sana huyo ndo pekee alieweza kumchapa the dead man mpaka akafloat kbs na mechi ikaisha mshindiHana cha ziada wwe wanambeba sana kwa sababu ya Marketing wise ana sura inayouzika na, kwenye wrestling side hana kitu cha kusema anawazidi akina Cezaro, KO, Randy Orton, Seth Rollins,AJ styles, Finn Balor
We kweli unaujua huu mchezo sio wengine wanashoboka tu huyu jamaa ni kichwa na mapambano yake siku zote yana mvuto mf mechi yake na undertekerRandy Oton Mhenga[emoji23][emoji23][emoji23].
ko,seth rolin,Aj nk sijamuona wa kumfikia roman reigns
Roman n mkazaji mzuri
mimi binafsi napenda mwanamieleka asieshindwa, asiepigana battle za uonevu, na cheat cheat kibao yani habahatishi...
asie vaa machupi , mfano reigns ana mavazi yake mazuri yanayomtambulisha kabisa sio mambo ya vichupi...
pia naangalia silaha za kumalizia ,mfano reigns ana ngumi yake ile akipiga huamki, Randy oton ana Rko, john cena anayo yake ,Dx michael shown alikuaga na teke nk
so Roman reigns ana hizo sifa yuko Fair, loyal ,mvumilivu anauzika nk
chunguza wana mieleka wengi wanaopendwa wana hizo sifa na sio wavaa vichupi. Mfano John cena ,rey maysterio nk
TECNO-C5 Wereva
[emoji23][emoji23]kupigana halijui linaboa
TECNO-C5 Wereva
Unaposema aliweza kumchampa Undertaker mpaka akafloat sio sahihi. Watu wawili tu ndo waliweza kumchapa deadman mpka akashindwa kutembea mwenyewe.We jinga sana huyo ndo pekee alieweza kumchapa the dead man mpaka akafloat kbs na mechi ikaisha mshindi
Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Kwenye finishing ukiresist ile ngumi ya roman basi anakumaliza na sphere! Hapo huamki!Randy Oton Mhenga[emoji23][emoji23][emoji23].
ko,seth rolin,Aj nk sijamuona wa kumfikia roman reigns
Roman n mkazaji mzuri
mimi binafsi napenda mwanamieleka asieshindwa, asiepigana battle za uonevu, na cheat cheat kibao yani habahatishi...
asie vaa machupi , mfano reigns ana mavazi yake mazuri yanayomtambulisha kabisa sio mambo ya vichupi...
pia naangalia silaha za kumalizia ,mfano reigns ana ngumi yake ile akipiga huamki, Randy oton ana Rko, john cena anayo yake ,Dx michael shown alikuaga na teke nk
so Roman reigns ana hizo sifa yuko Fair, loyal ,mvumilivu anauzika nk
chunguza wana mieleka wengi wanaopendwa wana hizo sifa na sio wavaa vichupi. Mfano John cena ,rey maysterio nk
TECNO-C5 Wereva
Hivi ile ilikuwa ni biff au zilikiwa rules of the game? Maana kuwa kuna rules nyingine ni extreme!Afu ckuizi mieleka haina mabifu ya kuvutia kama zamani...kama nakumbuka kulikuwa na beef la undertaker vs Mr kennedy...ili bifu lililkuwa tamu nakumbuka mechi yao ilikuwa unampga m2 mpaka asande afu unatokanae nje....weleheuuuui!!...umo ndani undertaker alikuwaakcheza na akili ze2 tu mpaka nliaminigi mchawi mana kama kuna action alipigwa ile kaingizwa kwny gari,Kennedy anataka kuwasha gari ...mara gar haliwaki ..mara vioo ndani vinajifunga ,hahahaha af mzee mzima anaamka kutoka kwny backseat na ile mimacho yake ...ilikuwa lazima upagawe
Sura ya marketing? Seriously unaongelea sura kwenye mieleka? Think twice!Unaposema aliweza kumchampa Undertaker mpaka akafloat sio sahihi. Watu wawili tu ndo waliweza kumchapa deadman mpka akashindwa kutembea mwenyewe.
Wakwanza ni Triple H pambano lao la kwanza Wrestlemania alimpiga mpka pambano lilipoisha Undertaker akaja kubebwa na Machela alishindwa kutembea mwenyewe though pambano Undertaker alishinda.
Wapili Ni The Beast Incarnate Bbbrooooooock Lesnar, huyu ndo mwanaume pekee katika Wrestling aliyempiga Undertaker na kumshinda katika Wrestlemania. Hata pambano lilipoisha alipotoka tu kwenye Ring akaangua na akashindwa kutembea kabisa ikabidi wamuwahishe Hospitali.
Sasa unaposema Reigns Ni bora kushinda hao nakuwa sikuelewi kabisa. Hata kwenye pambano lao mechi ilipoisha mwanaume Undertaker akatoka bira jeraha lolote na hakuwa na haja ya kupelekwa hospitali kama alivyofanywa na hao wengine, plus Reigns kila anapoingia kwenye uwanja anazomewa sana kwa sababu anabebwa sana na WWE kuna watu wanakipaji kushinda yeye pale sema kwa sababu ana sura ya Marketing ndo maana anapewa Push kubwa.