Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

masai dada

WWE siku hizi bwana haivutii kama zamani sijaangalia muda mrefu, thou Roman Reigns ni noma sana.

Tell me hivi Brock Lesnar bado yupo?
Huyu Roman Reigns anaweza akapigana naye hata dakika kumi kweli?
Walipigana kwenye wrestlemania Block na Roman,alichezea kichapo toka kwa Block lakini akakaza anakaribia kushinda Seth Rolin aka cash in money in the bank brief case akachukua mkanda wa heavy weight
 
8596a15a037480547029f57e1a05e2db.jpg
 
ROMAN REIGNS my favorite wwe superstar
Hana cha ziada wwe wanambeba sana kwa sababu ya Marketing wise ana sura inayouzika na, kwenye wrestling side hana kitu cha kusema anawazidi akina Cezaro, KO, Randy Orton, Seth Rollins,AJ styles, Finn Balor
 
Randy Oton Mhenga[emoji23][emoji23][emoji23].

ko,seth rolin,Aj nk sijamuona wa kumfikia roman reigns

Roman n mkazaji mzuri
mimi binafsi napenda mwanamieleka asieshindwa, asiepigana battle za uonevu, na cheat cheat kibao yani habahatishi...

asie vaa machupi , mfano reigns ana mavazi yake mazuri yanayomtambulisha kabisa sio mambo ya vichupi...

pia naangalia silaha za kumalizia ,mfano reigns ana ngumi yake ile akipiga huamki, Randy oton ana Rko, john cena anayo yake ,Dx michael shown alikuaga na teke nk

so Roman reigns ana hizo sifa yuko Fair, loyal ,mvumilivu anauzika nk
chunguza wana mieleka wengi wanaopendwa wana hizo sifa na sio wavaa vichupi. Mfano John cena ,rey maysterio nk

TECNO-C5 Wereva
 
Sema finishing apo kati ya uliozitaja nzuri ni ya rko 2 ......sema kuna iyo moja undertaker aliianzshaga anakukunja roba kwa miguu...iyo alikuwaanatoa wa2 damu nusu amuue edge kipindi icho
 
Afu ckuizi mieleka haina mabifu ya kuvutia kama zamani...kama nakumbuka kulikuwa na beef la undertaker vs Mr kennedy...ili bifu lililkuwa tamu nakumbuka mechi yao ilikuwa unampga m2 mpaka asande afu unatokanae nje....weleheuuuui!!...umo ndani undertaker alikuwaakcheza na akili ze2 tu mpaka nliaminigi mchawi mana kama kuna action alipigwa ile kaingizwa kwny gari,Kennedy anataka kuwasha gari ...mara gar haliwaki ..mara vioo ndani vinajifunga ,hahahaha af mzee mzima anaamka kutoka kwny backseat na ile mimacho yake ...ilikuwa lazima upagawe
 
Hana cha ziada wwe wanambeba sana kwa sababu ya Marketing wise ana sura inayouzika na, kwenye wrestling side hana kitu cha kusema anawazidi akina Cezaro, KO, Randy Orton, Seth Rollins,AJ styles, Finn Balor
We jinga sana huyo ndo pekee alieweza kumchapa the dead man mpaka akafloat kbs na mechi ikaisha mshindi

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
Randy Oton Mhenga[emoji23][emoji23][emoji23].

ko,seth rolin,Aj nk sijamuona wa kumfikia roman reigns

Roman n mkazaji mzuri
mimi binafsi napenda mwanamieleka asieshindwa, asiepigana battle za uonevu, na cheat cheat kibao yani habahatishi...

asie vaa machupi , mfano reigns ana mavazi yake mazuri yanayomtambulisha kabisa sio mambo ya vichupi...

pia naangalia silaha za kumalizia ,mfano reigns ana ngumi yake ile akipiga huamki, Randy oton ana Rko, john cena anayo yake ,Dx michael shown alikuaga na teke nk

so Roman reigns ana hizo sifa yuko Fair, loyal ,mvumilivu anauzika nk
chunguza wana mieleka wengi wanaopendwa wana hizo sifa na sio wavaa vichupi. Mfano John cena ,rey maysterio nk

TECNO-C5 Wereva
We kweli unaujua huu mchezo sio wengine wanashoboka tu huyu jamaa ni kichwa na mapambano yake siku zote yana mvuto mf mechi yake na underteker

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
We jinga sana huyo ndo pekee alieweza kumchapa the dead man mpaka akafloat kbs na mechi ikaisha mshindi

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Unaposema aliweza kumchampa Undertaker mpaka akafloat sio sahihi. Watu wawili tu ndo waliweza kumchapa deadman mpka akashindwa kutembea mwenyewe.
Wakwanza ni Triple H pambano lao la kwanza Wrestlemania alimpiga mpka pambano lilipoisha Undertaker akaja kubebwa na Machela alishindwa kutembea mwenyewe though pambano Undertaker alishinda.
Wapili Ni The Beast Incarnate Bbbrooooooock Lesnar, huyu ndo mwanaume pekee katika Wrestling aliyempiga Undertaker na kumshinda katika Wrestlemania. Hata pambano lilipoisha alipotoka tu kwenye Ring akaangua na akashindwa kutembea kabisa ikabidi wamuwahishe Hospitali.

Sasa unaposema Reigns Ni bora kushinda hao nakuwa sikuelewi kabisa. Hata kwenye pambano lao mechi ilipoisha mwanaume Undertaker akatoka bira jeraha lolote na hakuwa na haja ya kupelekwa hospitali kama alivyofanywa na hao wengine, plus Reigns kila anapoingia kwenye uwanja anazomewa sana kwa sababu anabebwa sana na WWE kuna watu wanakipaji kushinda yeye pale sema kwa sababu ana sura ya Marketing ndo maana anapewa Push kubwa.
 
Randy Oton Mhenga[emoji23][emoji23][emoji23].

ko,seth rolin,Aj nk sijamuona wa kumfikia roman reigns

Roman n mkazaji mzuri
mimi binafsi napenda mwanamieleka asieshindwa, asiepigana battle za uonevu, na cheat cheat kibao yani habahatishi...

asie vaa machupi , mfano reigns ana mavazi yake mazuri yanayomtambulisha kabisa sio mambo ya vichupi...

pia naangalia silaha za kumalizia ,mfano reigns ana ngumi yake ile akipiga huamki, Randy oton ana Rko, john cena anayo yake ,Dx michael shown alikuaga na teke nk

so Roman reigns ana hizo sifa yuko Fair, loyal ,mvumilivu anauzika nk
chunguza wana mieleka wengi wanaopendwa wana hizo sifa na sio wavaa vichupi. Mfano John cena ,rey maysterio nk

TECNO-C5 Wereva
Kwenye finishing ukiresist ile ngumi ya roman basi anakumaliza na sphere! Hapo huamki!

Wamuulize vizuri undertaker anajua kilichomkuta kwenye Royal Rumble, sphere haijawahi kumwacha mtu salama

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Afu ckuizi mieleka haina mabifu ya kuvutia kama zamani...kama nakumbuka kulikuwa na beef la undertaker vs Mr kennedy...ili bifu lililkuwa tamu nakumbuka mechi yao ilikuwa unampga m2 mpaka asande afu unatokanae nje....weleheuuuui!!...umo ndani undertaker alikuwaakcheza na akili ze2 tu mpaka nliaminigi mchawi mana kama kuna action alipigwa ile kaingizwa kwny gari,Kennedy anataka kuwasha gari ...mara gar haliwaki ..mara vioo ndani vinajifunga ,hahahaha af mzee mzima anaamka kutoka kwny backseat na ile mimacho yake ...ilikuwa lazima upagawe
Hivi ile ilikuwa ni biff au zilikiwa rules of the game? Maana kuwa kuna rules nyingine ni extreme!

Mfano sa hizi kuna ambulance match inakuja kati brawn strawman na roman reigns, ambapo mtu anatakiwa apigwe alainike halafu aingizwe kwenye ambulance, ambapo ambulance ikiondoka ndo match inaisha!

Kuna extreme rule nyingine ya "I QUIT" pale match inachezwa eneo lolote unapigwa halafu mwenzio anchukua mic anakuuliza kama unaquit, ukikubali match inaisha ukigoma ngoma inaendelea mpaka mmoja akubali !match iishe!

Nilishaona match hii kati ya John cena na JBL, ilikuwa hatar sana

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Unaposema aliweza kumchampa Undertaker mpaka akafloat sio sahihi. Watu wawili tu ndo waliweza kumchapa deadman mpka akashindwa kutembea mwenyewe.
Wakwanza ni Triple H pambano lao la kwanza Wrestlemania alimpiga mpka pambano lilipoisha Undertaker akaja kubebwa na Machela alishindwa kutembea mwenyewe though pambano Undertaker alishinda.
Wapili Ni The Beast Incarnate Bbbrooooooock Lesnar, huyu ndo mwanaume pekee katika Wrestling aliyempiga Undertaker na kumshinda katika Wrestlemania. Hata pambano lilipoisha alipotoka tu kwenye Ring akaangua na akashindwa kutembea kabisa ikabidi wamuwahishe Hospitali.

Sasa unaposema Reigns Ni bora kushinda hao nakuwa sikuelewi kabisa. Hata kwenye pambano lao mechi ilipoisha mwanaume Undertaker akatoka bira jeraha lolote na hakuwa na haja ya kupelekwa hospitali kama alivyofanywa na hao wengine, plus Reigns kila anapoingia kwenye uwanja anazomewa sana kwa sababu anabebwa sana na WWE kuna watu wanakipaji kushinda yeye pale sema kwa sababu ana sura ya Marketing ndo maana anapewa Push kubwa.
Sura ya marketing? Seriously unaongelea sura kwenye mieleka? Think twice!

WWE wanaangalia mtu ambaye akiwa na pambano watu wanajaa, hivyo ukiona wanampenda ujue ni marketable!

WWE sio fashion firm kuwa wanaangalia sura!

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Mieleka niliachaga zamani kuangalia kipindi hiko tunawapenda akina Jeff hardy, undertake ,D generation batista cena mysterio nk

lakini nilivokuja kutazama tena miaka ya hivi karibuni nikajikuta nampenda Roman reigns...
ina maana kwamba roman ana sifa za kuwa miongonj mwa wanamieleka bora kabisa wa kizazi hiki

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom