princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Finn balor ni mwanamieleka au mwanamitindo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashauzi kibaoHao uliowataja wote wanapigwa na roman reigns,watu ambao wanamsumbua huyo kiumbe ni braun strawman tena kwa mbinde ndio anampiga,kuna brock lesnar na samoa joe hao ndio wanaomsumbua roman,waliobaki wote wanakaa even huyo john cena
Post sent using JamiiForums mobile app
Finn balor ni mwanamieleka au mwanamitindo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashauzi kibao
tena hao wanaomsumbua ni kwa ajili ya miili yao hasa huyo strawman
block lesna ile style ya kuvunja wenzie migongo na mwili uliozoea punch
Post sent using JamiiForums mobile app
mimi cmuelewi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]namuona kama jidenna[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti mwana mitindo!
Kinachomsaidia yeye ana stamina
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
cana umri umeenda sana, ni km rand OrtonCena Kazeeka ndo mana na ufanisi umepungu
Mark Henry mwaka 2006 alifika hadi kilo 216 ila Cena alikuwa anambeba huyu mdudu mzima kwenye umaliziaji wa mtindo wake ule wa "U Cant See Me" ila siku hizi eti anapigana na akina seth rollins na anabondwa daah
saivi muhuni naemkubali ni R Truth ananikosha Koffi Kingstone anapigana kama manzi siku hizi tangu waanze kukata viuno na wenzake wa new day last
nmecheka kwa nguvu , hakuna wana mieka siwapendi wwe kama new day.....Cena Kazeeka ndo mana na ufanisi umepungu
Mark Henry mwaka 2006 alifika hadi kilo 216 ila Cena alikuwa anambeba huyu mdudu mzima kwenye umaliziaji wa mtindo wake ule wa "U Cant See Me" ila siku hizi eti anapigana na akina seth rollins na anabondwa daah
saivi muhuni naemkubali ni R Truth ananikosha Koffi Kingstone anapigana kama manzi siku hizi tangu waanze kukata viuno na wenzake wa new day last
Umri umemtupa jamani! Naona last week kaja tena kutafuta pambano!nmecheka kwa nguvu , hakuna wana mieka siwapendi wwe kama new day.....
Mashoga sio mashoga wanajikatikisha viuno hovyo hovyo...
Cena kuna siku alitaka kumbeba big dady V , wwe wote alibeba mpaka big show ,great kalee kama sikosei ..
sikuhizi kawa mzembe sana ,anapigana na akina rollins sijui akina nani wanampiga,
miaka ile ya 2005 nani alikua namgusa cena , alimpigaga ngumi sijui nigga gani yule alikuaga amejazia alikuaga anasumbua sana wwe alipigwa ngumi mpaka nje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cena ilikua akitaka kupigana wanamshika hata watu 8 akijitoa anadondosha wote...
kipindi hicho mieleka Itv kila mtu alikua anapotezea style ya cena[emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16]
Ametoka mbali ,afu nilijuaga aliachaga nakuja kuangalia 2014 namkuta
Post sent using JamiiForums mobile app
Uyo mwanamitindo alichukua world champion na hakuna aliye mnyanganya sema alipata matatizo ya kiafya.Finn balor ni mwanamieleka au mwanamitindo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashauzi kibao
tena hao wanaomsumbua ni kwa ajili ya miili yao hasa huyo strawman
block lesna ile style ya kuvunja wenzie migongo na mwili uliozoea punch
Post sent using JamiiForums mobile app
anapasha mwili joto kama wenzie wakina Rand oton nkUmri umemtupa jamani! Naona last week kaja tena kutafuta pambano!
Yaani siku hizi eti anacheza na wachekeshaji akina the miz! Aaagh apumzike tu kulinda heshima yake bwana!
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
mimi nahisi Roman sikuile alikua ana stress ,ila roman siowa mchezo mchezo ,ngoja nimfatilie huyu finnUyo mwanamitindo alichukua world champion na hakuna aliye mnyanganya sema alipata matatizo ya kiafya.
Romal alishobokea alipewa kichapo kama mtoto...
Adi leo wanmzungusha fin balore asipigane na broke coz dogo ataaribu status za watu wanaoogopeka wwe
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Ule haukuwa ubingwa wa dunia (WWE heavyweight championship) bali ulikuwa ni WWE universal championship!Uyo mwanamitindo alichukua world champion na hakuna aliye mnyanganya sema alipata matatizo ya kiafya.
Romal alishobokea alipewa kichapo kama mtoto...
Adi leo wanmzungusha fin balore asipigane na broke coz dogo ataaribu status za watu wanaoogopeka wwe
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Ha ha haaaa Aya ngoja wapashe, maana alivorudi alifanikiwa kuchukua ka mkanda wa USA championship!anapasha mwili joto kama wenzie wakina Rand oton nk
hawawezi kuacha moja kwa moja miili ndio itachoka zaidi...
waache wapigane wana taste yao, wwe ikijaa watoto tupu patakua hapapendezi
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Yes mimi nawakubali, sema wame lack uvumilivuHa ha haaaa Aya ngoja wapashe, maana alivorudi alifanikiwa kuchukua ka mkanda wa USA championship!
Mwenzake Rand anapigwa kila siku na yule muhindi Jinder Mahal, hata hili pambano wanalotegemea kupigana, (Something like hell in a cell) atapigwa tu
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Ila huyu Roman, strawman akipona atakachomfanyia dunia itasimamaYes mimi nawakubali, sema wame lack uvumilivu
hapo ndipo reigns anapowapiga bao
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Finn uziri wake ana roho ya pakamimi nahisi Roman sikuile alikua ana stress ,ila roman siowa mchezo mchezo ,ngoja nimfatilie huyu finn
lakini namuona kama seth rolins hwana jipya
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
So unasema Roman akipigana watu wanajaa? seriously? Zile Boooooo Boooooo anazozomewa Reigns na Mashabiki tusingekuwa tunazisikia basiSura ya marketing? Seriously unaongelea sura kwenye mieleka? Think twice!
WWE wanaangalia mtu ambaye akiwa na pambano watu wanajaa, hivyo ukiona wanampenda ujue ni marketable!
WWE sio fashion firm kuwa wanaangalia sura!
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Asante kwa kuliona hilo maana kuna watu hapa wanamapenzi nae kupitilizaKabisa... WWE wamezid kumbeba Reigns
Yani unasema Brock Wa kawaida 😀 unachekesha sana, Mtu ambaye alienda UFC akachukua Ubingwa wa dunia kule unasema wa kawaida, Mtu aliyemvunja mkono CEO wa wwe na Shawn Michaels unasema wa kawaida, Mtu aliyempa John Cena almost 12 German Suplex unasema wa kawaida we dogo banaUle haukuwa ubingwa wa dunia (WWE heavyweight championship) bali ulikuwa ni WWE universal championship!
BTW sidhani kama brock resner ni mtu anayeogopeka, sema huwa anapewa mapambano machache sana! Akipigana mara kwa mara kama wengine utaona anapigwa kila siku na kuwa mtu wa kawaida!
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Wapi nimesema Roman akipigana watu wanajaa? Nimesema ni marketable, je hii kauli kwako ina maana kuwa watu wanajaa akipigana?!So unasema Roman akipigana watu wanajaa? seriously? Zile Boooooo Boooooo anazozomewa Reigns na Mashabiki tusingekuwa tunazisikia basi
Kwa sasa ni Brock Lesnar tu ambaye akipigana WWE Fans ndo huwa wanajaa, hata kwenye marketing wise kulikuwa na mporomoko wa waangaliaji wwe kwa kipindi flani ambapo Lesnar hakuwepo, alivyorudi tu kumbi zikawa zinajaa hata Rating kwenye TV ikawa kubwa
Here comes another mistake of you! Sijaandika hapo kuwa ni mtu wa kawaida, nimesema sio mtu anayeogopeka!Yani unasema Brock Wa kawaida 😀 unachekesha sana, Mtu ambaye alienda UFC akachukua Ubingwa wa dunia kule unasema wa kawaida, Mtu aliyemvunja mkono CEO wa wwe na Shawn Michaels unasema wa kawaida, Mtu aliyempa John Cena almost 12 German Suplex unasema wa kawaida we dogo bana