Samoa kachezea kichapo toka kwa the beast brooooooock lesnar ( in paul heyman voice)Game yake na Samoa Joe imeshachezwa? Si walisema atakaeshinda hapo ndo atapambana na Brok Lesnar
Sent using Jamii Forums mobile app
nataka kuona youtube nmesubscrbe wwe ila hawaposti vitu vya kuelewekaLEO
John Cena ampiga Rusev na kufanikiwa kuweka Bendera ya USA juu. New day wamewashinda J Ussos. SEMEZAIN ameshinda pia. NAKAMOA amepigwa na Kobel,Aj style amenyanganywa mkanda na KO. Hii ni Smarkdown. Kama vipi ntakuwa nawaletea matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute fundi akufungie dish utakuwa unawapata live. You tube inachanganyanataka kuona youtube nmesubscrbe wwe ila hawaposti vitu vya kueleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ya mwezi uliopitajamani hivi match ambayo reigns kaumia mkono anapigana na strwman ni ya lini
Sent using Jamii Forums mobile app
natumia zukuMtafute fundi akufungie dish utakuwa unawapata live. You tube inachanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
nmeiona sibuka
jamani hivi match ambayo reigns kaumia mkono anapigana na strwman ni ya lini
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Dean Ambrose na Seth Rolli waliwashinda kundi la Zemess. na Samoe Joe atapigana Brown Strowman na Roma Rain atakaeshinda ndio watapigana na Brock Lesna. Big Case Kampiga Patina Wake Amore. Hii ilikuwa ni Raw SUmslam nimekupa tu dondoo. Jumanne kutakuwa na Smuckdown ntawapa matokeo pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaaaaa! Huyu jamaa lile pigo lake la kubana kichwa ni hatariJana battlegroung Great Khali karudi.kumsaidia Muhindi mwenzake vs rand orton
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajabu hata hajaoa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Napendaga sana collabo lake na sasha Banks
KO sijui anashindaje tu huyu jamaa! Aaagh huwa simpendi kabisaLEO
John Cena ampiga Rusev na kufanikiwa kuweka Bendera ya USA juu. New day wamewashinda J Ussos. SEMEZAIN ameshinda pia. NAKAMOA amepigwa na Kobel,Aj style amenyanganywa mkanda na KO. Hii ni Smarkdown. Kama vipi ntakuwa nawaletea matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dishi la namna gani hilo? Au yale madishi ya kihenga?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtafute fundi akufungie dish utakuwa unawapata live. You tube inachanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23]kuoa nacho kipajiAjabu hata hajaoa[emoji23] [emoji23] [emoji23]