Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

LEO
John Cena ampiga Rusev na kufanikiwa kuweka Bendera ya USA juu. New day wamewashinda J Ussos. SEMEZAIN ameshinda pia. NAKAMOA amepigwa na Kobel,Aj style amenyanganywa mkanda na KO. Hii ni Smarkdown. Kama vipi ntakuwa nawaletea matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Romain Rain walipigana na Samoe Joe na Strown akaingilia na kuwapiga hivo mchezo ukavurugika tusubiri leo usiku saa 7 usiku kwa wale wenye channel ya wwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LEO
John Cena ampiga Rusev na kufanikiwa kuweka Bendera ya USA juu. New day wamewashinda J Ussos. SEMEZAIN ameshinda pia. NAKAMOA amepigwa na Kobel,Aj style amenyanganywa mkanda na KO. Hii ni Smarkdown. Kama vipi ntakuwa nawaletea matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
nataka kuona youtube nmesubscrbe wwe ila hawaposti vitu vya kueleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Dean Ambrose na Seth Rolli waliwashinda kundi la Zemess. na Samoe Joe atapigana Brown Strowman na Roma Rain atakaeshinda ndio watapigana na Brock Lesna. Big Case Kampiga Patina Wake Amore. Hii ilikuwa ni Raw SUmslam nimekupa tu dondoo. Jumanne kutakuwa na Smuckdown ntawapa matokeo pia

Badabooom Shakalakaa
 
LEO
John Cena ampiga Rusev na kufanikiwa kuweka Bendera ya USA juu. New day wamewashinda J Ussos. SEMEZAIN ameshinda pia. NAKAMOA amepigwa na Kobel,Aj style amenyanganywa mkanda na KO. Hii ni Smarkdown. Kama vipi ntakuwa nawaletea matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
KO sijui anashindaje tu huyu jamaa! Aaagh huwa simpendi kabisa
 
Huu mchezo unanitatizaga sana pale wanapopigania ukanda wakati wamevaa chupi.
 
Back
Top Bottom