Roman Reigns and Dean Ambrose special thread

Mechi ya za Leo Samslum. 1. New day wamenyanganywa mkanda na J Ussos,Big Case amempia Big show .2 Jinder Mahol kampiga Shishnke Nakamoa hivo Jinder anaendelea kushikilia mkanda wa Wwe Universal 3.Rolin&Dean Ambarose Wamewapiga Wakina Shemus na kuchukua mikanda ya Tag Championship. AJ STYELE amempiga Kelvin Owen kwenye mechi ilikuwa na Refa special Steven Makman. 4. Watu wanne Samoel Joe,Brock Lesna,Roman Rein na Strow man walikua wanagombania mkanda wa Wwe na Brock lesna akashinda hivo anaendelea kushikilia mkanda huo. Ulikuwa ni mchezo wa kutamausha sana. Lesna alipigwa akabebwa na machela aliporudi mara ya pili ndipo alipokuja kushinda. Sasha pia ameshinda mkanda wa wwe women Championship. Ni hayo tu kwa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmh leo si ndio juma3 wanapiganaga alfajiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Wwe Monday Night raw. Mechi ya Finn Bella na Jesi John na Finn Bela Ameshinda mkumbuke Finn Bella Juzi Jumapili alimpa kipigo kitakatifu Brain Wayt Kwenye Samslum ambapo michezo hio ilikuwa kiwizard zaidi. Tuendelee ya Leo Monday Night raw. Rolin&Ambros wamepigana na Hard boy wakina Ambros wakashinda. Truth amepigwa na Alaisa. Crus weight Wakina msatafa Alii wameshinda. John Cena&Roman Rain wamewapiga Samoe Joe&Ze mez. Big Case alipata injory hivo Amore kashinda. Hayo tu kwa Leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Smakdown Aj style amemtandika Kelvin Owen hii ni baada ya kutolewa Kamishina Steven Macman kumtoa nje Refa Kobel baada ya kuonekana anampendelea sana Owen. Hivo Aj style ndie steel U.s.a Championship. Shinshike Nakomoa amewapa kipigo ya kutosha wale wasaidizi wa Jinder Mahol na akashinda Jinde alipoingia ndani kipigo ikawa kilekile. Bahati njema pia Baby Rood ameingia smackdown na pia kushinda hii ni baada ya John Cena kwenda Raw pia kuna mwingine alieyeingia baada ya Jesse John kuhamia Raw pia Jina ntawapa siku nyingine. J Usso bado pia wameendelea kupiga Taga team nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika dunia ya WWE. Roman Reigns namfananisha na the Undertaker. Kiukweli, Roman
Reign kamrithi The Undertaker.
Summer slam was good na nilienjoy kweli. The shield taratibu inarejea. Thanks Shemus kwa kuwaunganisha Seth na Dean. Hakuna watu ninaowafagilia kama Tripple H(ila aliniboa sana, hasa kueneza chuki kwa Cena kwa kuunda Team Authority ili kumfukuza Cena.), The Undertaker na Roman Reigns.
 
Roman kamtungua ngumi ,mme wangu wa zamani jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ila wamependeza na John cena

Sent using Jamii Forums mobile app
Joh Cena simfagilii kihivyo, anapigwa sana. John Cena alikuwa wa zamani kipind cha Great Kal, Mark Henry, Tripple H na Randy Orton kipind Shawn Michaels yupo (DX) ila sasa anapigwa mpaka AJ Styles, Nakamura. Hata ukimpangia mechi na Demon (Balor) anapigwa Cena. Randy ni bora kwa sasa kuliko Cena. Uliangalia RKO aliyopigwa Jinja (Mwenye mkanda wa WWE?) ni hatari sana. Ya hivyo alishawahi kupigwa Cena kwnye Table match. Ni noma sana
Ile ngumi aliyopigwa Cena, Ilikuwa ni Bahati mbaya. Samoe Joh alimsukuma.
AJ styles yupo fit namkubali, Kelvin Owen(KO) atakesha sana pale.
Uliangalia FATAL 4 WAYS MATCH at Summer slam? Roman Reigns, The beast , Strawman na Samoe Joh wakigombania UNIVERSAL WWE TILE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…