MEING'ATI
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,212
- 1,012
Mechi ya za Leo Samslum. 1. New day wamenyanganywa mkanda na J Ussos,Big Case amempia Big show .2 Jinder Mahol kampiga Shishnke Nakamoa hivo Jinder anaendelea kushikilia mkanda wa Wwe Universal 3.Rolin&Dean Ambarose Wamewapiga Wakina Shemus na kuchukua mikanda ya Tag Championship. AJ STYELE amempiga Kelvin Owen kwenye mechi ilikuwa na Refa special Steven Makman. 4. Watu wanne Samoel Joe,Brock Lesna,Roman Rein na Strow man walikua wanagombania mkanda wa Wwe na Brock lesna akashinda hivo anaendelea kushikilia mkanda huo. Ulikuwa ni mchezo wa kutamausha sana. Lesna alipigwa akabebwa na machela aliporudi mara ya pili ndipo alipokuja kushinda. Sasha pia ameshinda mkanda wa wwe women Championship. Ni hayo tu kwa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app