PreGE2025 Romanus Mapunda: Tunataka Tundu Lissu ajiuzulu Uenyekiti CHADEMA kwa sababu hakitakii mema chama chetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Romanus Mapunda na Team yake watatangaza maandamano wakitaka Tundu Lissu ajiuzulu kwani hakitakii mema chama. Katika maandamano hayo yataanzia mkoa wa Dar es Salaam

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha Mapunda amesema Tundu Lissu anataka CHADEMA ikafe kwa sababu ya maslai yake binafsi

Your browser is not able to display this video.
 
Hahahahaha aache upuuzi
 
Yani huyu...kaburi lake lazima lichapwe fimbo....na vizazi vijavyo wakiona clip kama hiz
 
Hela za CCM zinaliwa kijinga sana!
 
kwenye hii ngoma ya Romanus , Mchome akitia verse moja itanoga mno 🤣
 
Ndio demokrasia hiyo mwacheni bwana Romanus Mapunda ajinafasi na fomu za kugombea apewe..! Kwani sh'ng ngapi?
 
Umekula pesa abdul ili uje kuharisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…