kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Kelele kila kona kuhusu dikteta uchwara msiwabeze ipo haja ya kuwasikiliza...nimepenyezewa na chanzo changu cha kuaminika hata wewe ukibaki peke yako unalalamika na kunung'unika kuhusu uongozi wake ukibisha wewe mchawi.....!Hela za CCM zinaliwa kijinga sana!
