Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
visungura vinamsumbua kichwani hana lolote huyu.chama chao yeye na nani? akaanzishe cha kwake kama zittoKutafuta kiki za kijinga tu, Miwani kama fundi welding
visungura vinamsumbua kichwani hana lolote huyu.chama chao yeye na nani? akaanzishe cha kwake kama zittoKutafuta kiki za kijinga tu, Miwani kama fundi welding
Chama chao ni CCMvisungura vinamsumbua kichwani hana lolote huyu.chama chao yeye na nani? akaanzishe cha kwake kama zitto
CCCM wanamtumiaMapunda Lissu sio saizi yako hata kwa nakta moja, hao wanaokutumia watakuacha kwenye mataa. Na yeoyote anaepinga na msimamo wa chama chao huyo ni kipofu kwa kiwango cha promax. Na kaa ukijua kwamba tumekwishakupuuza kwa kuwa tunajua fika UNATUMIKA SANA HUKO NYUMA. YAANI TUNAKUONA WEWE NI KIPOFU NA HUJITAMBUI.
madhira yote ambayo chadema wanayapitia leo unajifanya huyajui, wewe ni mnyama aiseeeee. Ukiona kuendani na falsafa ya NO REFORM NO ELECTION NENDA UUNGE JUHUDI, PERIOD
Sikuwa nafikiria kama boni yai naye ni mjinga kiasi hikiCCCM wanamtumia
Mrija siumekatwa mazeeSikuwa nafikiria kama boni yai naye ni mjinga kiasi hiki
wewe binafsi na timu yako muanzishe chama chenu, halafu ndio ugombeeRomanus Mapunda na Team yake watatangaza maandamano wakitaka Tundu Lissu ajiuzulu kwani hakitakii mema chama. Katika maandamano hayo yataanzia mkoa wa Dar es Salaam
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha Mapunda amesema Tundu Lissu anataka CHADEMA ikafe kwa sababu ya maslai yake binafsi
Huyu ni mjinga kutoka wapi? Unagombea urais kwa mfumo upi Bora wa uchaguzi? Mjinga una njaa zako kafie mbali. Wajinga wote ndiyo mtaji wa CCM. Umetumwa na wajinga wenzako Kuja kuharibu no reforms no Election. Hamuwezi kuzuia mafuriko kwa mikono. The time has comeRomanus Mapunda na Team yake watatangaza maandamano wakitaka Tundu Lissu ajiuzulu kwani hakitakii mema chama. Katika maandamano hayo yataanzia mkoa wa Dar es Salaam
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha Mapunda amesema Tundu Lissu anataka CHADEMA ikafe kwa sababu ya maslai yake binafsi
Hawawlewi kuwa nusu ya kura zilimkataa Lisu .Hilo kundi sio dogo la kulichukulia kama si lolote ndani ya Chademahuwenda watakao wahoji watapata tabu zaid, coz hao waungwana wamejipanga vizuri mno gentleman 🐒
Kugombea ni haki yake ya kikatibaHuyu ni mjinga kutoka wapi? Unagombea urais kwa mfumo upi Bora wa uchaguzi? Mjinga una njaa zako kafie mbali. Wajinga wote ndiyo mtaji wa CCM. Umetumwa na wajinga wenzako Kuja kuharibu no reforms no Election. Hamuwezi kuzuia mafuriko kwa mikono. The time has come
HahahahKutafuta kiki za kijinga tu, Miwani kama fundi welding
Kwa hiyo Lisu kugombea uenyekiti ilikuwa ni njaa ndio inamsukuma?Mapundaaaaa, njaa zitakuua - No reform No election imepokelewa vyema si kwa wana CDM tu bali na watanzania walio wengi sana.
No reform No elecrion ndiyo habari ya town. Hayo ya kutomtaka Lissu ni ya kwako na mkeo.
KhaaaIla kuna watu wamezaliwa kukamilisha Sensa
Ujinga wetu ndio umetufikisha hapa kwamba kiti cha urais ni cha kuchezewa chezewa.Yaani uwe rais wa Tanzania na hiyo ngeu kichwani... ina maana hata ukienda Marekani utajitambulisha kwamba we ni rais wa Tanzania seriously