PreGE2025 Romanus Mapunda: Tunataka Tundu Lissu ajiuzulu Uenyekiti CHADEMA kwa sababu hakitakii mema chama chetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hela za CCM zinaliwa kijinga sana!
Kelele kila kona kuhusu dikteta uchwara msiwabeze ipo haja ya kuwasikiliza...nimepenyezewa na chanzo changu cha kuaminika hata wewe ukibaki peke yako unalalamika na kunung'unika kuhusu uongozi wake ukibisha wewe mchawi.....!
 
Kuna watu wameahidiwa kiachiwa majimbo washinde ndo hao wanamsumbua lisu wanaona wanakosa naslahi zao
Acha wale hela ila hawataweza kuwaondoa Watanzania kwenye ajenda ya No Reform No Election.

Yaani Mungu alimponya Lissu risasi 17 ndo then akamfanya awe Mwenyekiti wa CHADEMA ili Tanzania ikombolewe alafu hawa wajinga wachache waliopo kwenye payroll za wajinga CCM ndo waharibu mapenzi ya Mungu kwa Watanzania?

Watasubiri sana na kuaibika vibaya sana.
 
Huyu ndugu anataka kufukuzwa muda SI marefu, nashauri aitwe rasmi kwenye vikao, asipoelewa aonyeshwe mlango mara moja
 
Haya ndyo maandamano ya kwenda watoe taarifa wataanzia wp nikaunge mkono
 
Duh!
Kazi ipo...
Ajiengue, mapema huyu Tundu na Udikteta wake. Itawasaidia CHADEMA, na itasaidia Taifa kwa ujumla.

Kumbuka bado anasumbuliwa na PTSD, matibabu yake ni zaidi za hizi Vieyti wanazozilalamikia, tutanusuru mabilioni kama sio matrilioni kwa gharama za matibabu yake nje ya nchi na wazungu wake wa Ubeligiji hawata kuja huku, ni lazima aende huko.

Oh nimekumbuka, hata suti ya kumtosha hana.πŸ‘‡πŸΏ
Kununuliwa suti nayo itakuwa gharama.πŸ™ŒπŸΎπŸΌπŸ”₯

Kazi bado sana
....
 
Ndio mumependa awaongoze na mlitaka mabadiliko.. Kaanza ndani aachwe akitumikie cheo vizuri
🀣🀣🀣

Supa sana

Lissu... Kanyaga Kanyaga
 
CCM wanamwaga pesa kama hawana akili sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…