Rombo: Amuua mkewe na kisha kujinyonga

Haya Mambo acheni tu, nimewahi pitia hiyo stress ya kummaliza mtu.

Nilikuwa nimeshajiandaa kwa lolote Lile. Bahati nzuri nikapata safari ya ghafla muda huo huo. Nilivyorudi town nikawa mpya kabisa.

Sema wanawake wanakera sana Kama hayajakukuta huwezi vaa viatu vya Huyo mwanaume.

RIP
 
duh,,,,, huyu mheshimiwa nini kimempata........mwezi june tulikuwa nae kama MC kwenye sherehe fulani hivi......hizi ndoa hizi......sijui nini shida...
 
uko sahihi bro....kuna wakati roho haian subira....ila watoto sasa blaza....aiseeee
 
Mimi kwa ushauri wangu, jaribu kuwa na rafiki mwente hekima na busara ambae unaweza kumtumia kama mshauri wako.
Hizi situation zisikie tu kwa wengine,zikikukuta unawezs fanya mambo ambayo hukutarajia kuyafanya.
 
Siwezi ua mke wangu kisa kagawa uchi kwa mtu mwingine,nikuachana tu na huyo ndo suruhu,nawapenda watoto na ndugu zangu ambao wananitegemea
 
Sisi tunaowaza ndoa tunazidi kukatishwa tamaa na habari kama hizi. Aisee!!
 
Ndoa ni kwa ajili ya Mwanaume mwenye akili timamu ilikuwaje huyu bibie akaolewa na huyo mwehu

Dunia ya sasa kati ya wanamme/wanawake 100, labda 10 tuu wanaojitambua. Ukibahatika mwanamuke au mwanaume mwenye cfa nzuli alietulia, mwenye hofu ya Mungu na co mchepukaji shukuru sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…