Rombo: Amuua mkewe na kisha kujinyonga

Rombo: Amuua mkewe na kisha kujinyonga

ila wanawake wanaudhi Sanaa.
Kama haujaua omba MUNGU akulinde na hilo pepo.
Amin aiceee, hawa viumbe ndo maana ikasemwa tuishi nao kwa akili. Kama hujakaa nao ndani unaweza zani ni wema, pengine ilitakiwa wawe sayari ya peke yao ila sasa hamna namna mzee
 
Si wangeachana tu.
Nan Sasa amuache mwenzie, huo ushauri wako n Kama wa Joyce kiria ndo umewaponza wasichana na wamama waleo kuanzia kupata shida za ndoa na mahusiano yao.

Njia pekee Ni kujiheshimu na Kama mlikubaliana kuishi pamoja basi mjiue mmebadilishana viungo vyenu vyasiri hvyo kila mmoja amtunzie mwenzie zaid ya hapo mtaendelea kuumia, kupigwa pengine kubadilishwa jina.

Wadada na wakaka jieshimuni na muwatunzie wenzenu vitu vyao.
 
Sinwalipooana waliapa kwenye shida na raha mpaka kifo kiwatenganishe? Jamaa ameamua sahihi kabisa wacha afe nae ajiue Safi kabisa hakuna Deni wanakutana kwa Sir God watajielezea huko isiwe tabu blaaaalifool
 
duh,,,,, huyu mheshimiwa nini kimempata........mwezi june tulikuwa nae kama MC kwenye sherehe fulani hivi......hizi ndoa hizi......sijui nini shida...
Naskia ni w hapo urua....yawezkana hata kwny haya madawat wanayoanzisha yanasababisha haya...huwa maamuzi yao yanaegemea kwa mwanamke sanaa..sas mbaya unakuta mwanamme hajaridhia ndo yanatoke haya
 
Naskia ni w hapo urua....yawezkana hata kwny haya madawat wanayoanzisha yanasababisha haya...huwa maamuzi yao yanaegemea kwa mwanamke sanaa..sas mbaya unakuta mwanamme hajaridhia ndo yanatoke haya
hata washauri wenyewe....wengi ni wanawake..so mizani haikai sawa......unajua hizi ishu akiwahi mwanamke kule...ukaitwa mwanaume...wako kiumbeya mbeya sana........ila bado kuua na kujiua kaenda mbali sana.......unatakiwa ujisogeze pembeni ...tathmini then amua....sasa wale watoto jamani.....mbegu ya ukatili aliyoiacha ktk jamii....anyway..... hata wanawake....duh....wacha niagize mbege hapa urua bar...
 
Wanawake wanazingua sana hila kuua kwa ajili ya mapenzi hapana,Mimi wangu tunamgogoro nnarudi job nnakuta nyumba hakuna kitu kahamisha kila kitu sasa hv wiki ya pili sijampigia hata simu kumuuliza yupo wapi zaidi ya kutoa tu report police hela alizochukua zikiisha atawarudisha wanangu
 
Wanaume wengine bwana..ovyoo.
 
Kwenye mapenzi kuna mambo mengi sana ya maudhi na kukera ambapo aina ya maamuzi yanategeamea na kiwango chako Cha uvumilivu.....

Imagine mtu unayemtazamia akupe furaha maishani ndio anageuka kuwa chem chem ya huzuni maishani mwako........
 
Mwenyekiti wa kitongoji cha Urua chini, kijiji cha Mfuruashe wilayani Rombo, Agustine Moshi(35) amemuua mkewe, Anastasia Agustine (31) kwa kumkata kata na kitu chenye ncha kali na kisha mwenyewe kujiua kwa kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

Mwenyekiti huyo ambaye pia ni mshereheshaji maarufu wilayani humo (MC), anadaiwa kutenda mauaji hayo usiku wa kuamkia leo Novemba 8, 2021.

Akithibitisha kutokea kwa mauaji hayo leo Novemba 8, Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Kanali Hamis Maiga amesema wawili hao walikuwa na mgogoro wa kimapenzi, ambapo wiki moja iliyopita mke wake huyo alimpeleka dawati la jinsia Rombo.

"Huyu jamaa wiki iliyopita mke wake alimpeleka dawati la jinsia hapa wilayani, walisuluhishwa lakini inaonekana halikuisha na ni suala ambalo inaonekana ni wivu wa mapenzi, hivyo akaamua kuchukua jukumu la kumuua mkewe na kisha kujiua kwa kujinyonga," amesema Kanali Maiga.

Kanali Maiga amesema wanandoa hao wameacha watoto watatu wadogo.

MWANANCHI
Hawa wakazi wa huu mkoa wana matatizo ya kiakili sana, kama si mwanamke kuua mumewe basi ni mwanamme ataua mkewe kulipiza kisasi
 
Haya mambo ya wanandoa kuuana kisa wivu wa mapenzi mbona yanazidi kuongezeka sikuhizi!

Kama unajijua una hasira mbaya na huwezi kuzicontrol bora usioe wala kuolewa
Labda useme usiwe na mpenzi ubaki bachela.
Kuna siku nilitaka kumbamiza mwanamke wangu ukutani .anatia hasira.kitu unachomkataza ndo yeye anafanya.kila ukimwambia asikii.baadae nikawaza mambo ya kwenda jela nikaamua kumpotezea.
Sasa hivi anapiga simu sipokei wala meseji sijibu.nishaona mwisho utakuja kuwa mbaya.mimi bado kijana.kuishia jela sio sawa.
 
Bora hivyo kuachana nae kuepusha shari, maana ukishaumiza mtu au kumuua sheria haitaangalia huyo alikukosea kiasi gani ila itaona we ni muuaji tu
 
Yah!
Bora hivyo kuachana nae kuepusha shari, maana ukishaumiza mtu au kumuua sheria haitaangalia huyo alikukosea kiasi gani ila itaona we ni muuaji tu
Kikubwa ni kuachana tu na hapo sasa tatizo
Linakuja la kuushinda moyo!

Ova
 
Wanawake wanazingua sana hila kuua kwa ajili ya mapenzi hapana,Mimi wangu tunamgogoro nnarudi job nnakuta nyumba hakuna kitu kahamisha kila kitu sasa hv wiki ya pili sijampigia hata simu kumuuliza yupo wapi zaidi ya kutoa tu report police hela alizochukua zikiisha atawarudisha wanangu
Duh!huyo kajiondoa mwenyewe

Ova
 
Back
Top Bottom