Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Inaonekana ni wale wanaofumania na kuamua kulawiti mgoniKama aliyelawitiwa ni Mwanaume maana yake sio mtoto, ni Mwanaume Shoga na kama hakunyweshwa pombe akazima au kupewa madawa yakamlevya basi aliridhia kulawitiwa, je yeye amehukumiwa miaka mingapi?
Au amehukumiwa kunyongwa?
Mnamhukumu Basha mnamwacha shoga lake?
Huyu wa miaka 24 kinachofanya awe huru mpaka sasa ni nini?
Au Mwenye miaka 24 kala mke wa mtu nae kaliwa?? Hii stori haijashiba nyamaHabari ya kuokoteza .
Habari haijakamilika hii, tuambie sababu ya kumlawiti mwenzake ni nini , na mlawitiwa aliridhia au lah alibakwa, kama aliridhia basi wote wafungwe
Yupi? Mlawiti au mlawitiwa?