stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Ikibainika yeye ndie anaendesha michezo hio anafungwa sijakataa, Ila nmezungumzia kesi hii jamaa alisema wote wafungwe nikasema anaelawiti ndie anaeangaliwa sio alielawitiwa (elewa maelezo)Sio kweli ,wiki iliyopita Kuna gasho kafugwa,kwa kuwapa kinyeo jamaa