Rombo: Miaka 30 jela kwa kumlawiti mwanaume mwenzie

Sio kweli ,wiki iliyopita Kuna gasho kafugwa,kwa kuwapa kinyeo jamaa
Ikibainika yeye ndie anaendesha michezo hio anafungwa sijakataa, Ila nmezungumzia kesi hii jamaa alisema wote wafungwe nikasema anaelawiti ndie anaeangaliwa sio alielawitiwa (elewa maelezo)
 
Sheria yetu alielawiti ndio hua anafungwa alielawitiwa hafungwi hata wewe ukodakwa na shoga unamtatua Malinda wewe basha unafungwa shoga anabaki mtaani na kinyeo chake,
Hapanaaa inategemea na case ilivyoo, labda aliyeingiliwa amgeuke mwenzake na kumuachia msala kuwa alimlazimishaaa,

Ila kwa anae ingilia huwa hana cha kujitetea incase kakutwa red handed.
 
Jina lake lingekuwa la kiislamu tusingehema humu...!!
 
Hapanaaa inategemea na case ilivyoo, labda aliyeingiliwa amgeuke mwenzake na kumuachia msala kuwa alimlazimishaaa,

Ila kwa anae ingilia huwa hana cha kujitetea incase kakutwa red handed.
Upo sahihi kabisa mkuu,
 
Sheria yetu alielawiti ndio hua anafungwa alielawitiwa hafungwi hata wewe ukodakwa na shoga unamtatua Malinda wewe basha unafungwa shoga anabaki mtaani na kinyeo chake,
Ukikubali ingiliwa unafungwa miaka 30 kasome 154 utaelewa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Duh ilikuaje
Ila wamemuoneaa sanaa, mtu mzaliwa wa palee, na inasemekana alikua na tabia za kike tangu mdogo, sasa cha ajabu nn hapoo? Walio muharibu si ni watu wa mtaani kwao.

Ila hadi akamatwee, ni kuwa alitembea na mume wa mtu, then mwenye mume ndo akafanya revenge ya kumchomesha kwa wahuniii, akanasaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…